Uwepo wa mafuta katika eneo ninaloishi

Kama ni Ruvuma au maeneo fulani ya Iringa itakuwa ni mafuta

Je maji hayo yanaweka utando wa brown wenye kung'aa?
Hii ya kuweka utando wa brown unaong'aa hata mm nimeona tulipochimba kisima maji ya kali yakaliwa hayanyweki mabaya na makali
 
Mkuu sikukatishi tamaa ila kama kuna mafuta kwenye eneo lenu jiandae kuhama tu, kwa mujibu wa sheria zetu mafuta na madini si sehemu ya Ardhi na mara tu madini au mafuta yanapopatikana ardhi inaama automatically kwenda serikalini.
 
nimeona katika chemchem ya maji yanatoka pamoja na hayo
 
Nyanda za juu kubwa, taja sehemu specific ili wataalam wa jiolojia watudadadvulie, second kama ni kweli tutayaita hayo machimbo jna lako, mfano kuwese oil fields.
 
Mkuu sikukatishi tamaa ila kama kuna mafuta kwenye eneo lenu jiandae kuhama tu, kwa mujibu wa sheria zetu mafuta na madini si sehemu ya Ardhi na mara tu madini au mafuta yanapopatikana ardhi inaama automatically kwenda serikalini.
Ila kukiwa na bange shambani kwako ni yako hata kama hujaipanda. Nchi ya ajabu sana hii
 
Mafuta hayalipi siku hizi, wenzetu wapo bize na renewable energy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…