Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
asije akaingia gharama akijua ni yake.Mbon umemkatisha tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asije akaingia gharama akijua ni yake.Mbon umemkatisha tamaa
Kama ni Ruvuma au maeneo fulani ya Iringa itakuwa ni mafutanipo nyanda za juu kusini
utando wa brown wenye kung'aa huwa nini?Kama ni Ruvuma au maeneo fulani ya Iringa itakuwa ni mafuta
Je maji hayo yanaweka utando wa brown wenye kung'aa?
Ushayaona pahala?utando wa brown wenye kung'aa huwa nini?
nipo nyanda za juu kusini
mbona hujajibu? niliona huko bonde la Usangu.Ushayaona pahala?
Hii ya kuweka utando wa brown unaong'aa hata mm nimeona tulipochimba kisima maji ya kali yakaliwa hayanyweki mabaya na makaliKama ni Ruvuma au maeneo fulani ya Iringa itakuwa ni mafuta
Je maji hayo yanaweka utando wa brown wenye kung'aa?
nimeona katika chemchem ya maji yanatoka pamoja na hayoMafuta ghafi kutoka chini ya ardhi (oil seepage) nijambo ambalo limetokea Mara kadhaa katika field tofauti tofauti dunian na hii hutokea pale mgandamizo katika reservoir inapokuwa kubwa na h ivyo kuperekea mwamba ambao huzuia mafuta/gas kutoka kwenye reservoir (cap rock/seal) kuelemewa na hivyo mafuta huanza kupenyeza taratibu kupitia kwenye nyufa za miamba mbalimbali mpaka kufika juu ya ardhi lakini pale mafuta yanapotokea haimanisha kwamba mafuta yanapatikana usawa huo , hii itategemeana na mweelekeo wa mipasuko ya miamba huenda ikawa several kilometers kutoka hapo yanapotokea
Labda mkuu ungeweza kutufahamisha exact location ya hiyo seepage inapotokea
kesho ngoja nipige picha ni uploadKama ni Ruvuma au maeneo fulani ya Iringa itakuwa ni mafuta
Je maji hayo yanaweka utando wa brown wenye kung'aa?
maketeNyanda za juu kubwa, taja sehemu specific ili wataalam wa jiolojia watudadadvulie, second kama ni kweli tutayaita hayo machimbo jna lako, mfano kuwese oil fields.
Ila kukiwa na bange shambani kwako ni yako hata kama hujaipanda. Nchi ya ajabu sana hiiMkuu sikukatishi tamaa ila kama kuna mafuta kwenye eneo lenu jiandae kuhama tu, kwa mujibu wa sheria zetu mafuta na madini si sehemu ya Ardhi na mara tu madini au mafuta yanapopatikana ardhi inaama automatically kwenda serikalini.
Anadhani mafuta ni dhahabu, anaweza ajiri wana apollo wamchimbie!!!Sasa si utaje jina la mkoa...
unachosha kuongea kitu hakieleweki
sawakesho ngoja nipige picha ni upload