Uwepo wa maisha nje ya sayari ya Dunia, Utathibitisha hakuna Mungu

Unajua ukubwa wa ulimwengu?umbali kati ya sayari mpaka sayari??
Inawezekana kama hao viumbe nao wanafanya utafiti,basi waliichunguza dunia miaka mingi sana iliopita kiasi kwamba dunia ilikua na non intelligent life au no life at all.

Nimependa sana idea ya time frame iliyopo kati ya vumbuzi moja na nyingine.
 
Ni bora kuamini yupo umkose, kuliko kutoamini alafu ukamkuta aiseee sijui utakimbilia wapi, haya mambo mengine sijui ya utafiti kujua mambo ya mungu nk , ndio yaliwashinda watu wa babeli wakaishia kila mmoja kuongea lugha yake,
 
Watu wanajifanya wanasayansi humu....wakati mwanasayansi mkuu ni MUNGU...NAWAULIZA BINADAMU WA KWANZA KULINGANA NA SAYANSI ZAO ALIZALIWA NANANI?AU ALIKUJAJE DUNIANI?
 
Ni bora kuamini yupo umkose, kuliko kutoamini alafu ukamkuta aiseee sijui utakimbilia wapi, haya mambo mengine sijui ya utafiti kujua mambo ya mungu nk , ndio yaliwashinda watu wa babeli wakaishia kila mmoja kuongea lugha yake,
sentensi zinakinzana(self contradictory) sasa niamini hayupo halafu nimkute?Jibu ni moja tu,yupo au hayupo.
 
Back
Top Bottom