Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu la swali lako linajibiwa na mfano huu.Washirikina wa zamani walikuwa na miungu yao katiaka kila jambo walikuwa na mungu wa Chakula mungu wa afya na mfano wa hao.
Washirikina hawa walikuwa wanafanya hivyo kwa hiyari yao na machaguo yao.
Katika safari zao za majini pindi walipokuwa wanakutwa na dhoruba za bahari walikuwa wanamtaka msaada Mola aliyejuu na kuwacha kuwaomba miungu wao wa kishirikina na pindi wanapookolewa kutokana na hizo dhoruba wanarudi kumuasi mola aliyetukuka.
Anacho kifanya Allah kwa waja wake wanao muasi ni kuwaacha huru wafanye wanayoyataka na vile wanavyotaka.
Ukitaka Allah akuongoze anakuongoza na ukitaka upotee ana kuacha upotee,sababu ameshakupa uhuru wa kuchagua unachokitaka.
Leo sisi tunao amini uwepo wake na amri zake,tunajua ya kuwa kuzini ni dhambi na mfano wa madhambi mengine mengine lakini huwa tunakumbushana wenyewe kwa wenyewe na kupeana miongozo ya jinsi ya kuacha yale maovu tunayoyafanya kwahiyo mwenye kukubali kosa na kutubia Allah anampa msaada wa kuliacha ovu lake kwa wepesi.Allah anajua zaidi.
Napingana na Qur'an kivipi ? Unapoambiwa hata wakikanywa hawakanyiki hata usipowakanya wako vile vile ? Hapo nazungumzia ule uhuru ambao Allah amewapa waja wake ndio maana wakilinganiwa wapo wanao kubali waashi na wapo wanao kadhibisha waadhi.Umeandika
"Anacho kifanya Allah kwa waja wake wanao muasi ni kuwaacha huru wafanye wanayoyataka na vile wanavyotaka."
Quran imeandika
6. As for those who disbelieve—it is the same for them, whether you have warned them, or have not warned them—they do not believe.
7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.
Utasemaje Allah anawaacha wanaomuasi huru wafanye watakavyo wakati Quran imesema wazi kwamba Allah anawafunga mioyo, macho na masikio wasimjue?
Unapingana na Quran?
Hivi unaelewa nini unapoambiwa kwenye mioyo masikio na macho yao kuna vizibo ?Umeandika
"Anacho kifanya Allah kwa waja wake wanao muasi ni kuwaacha huru wafanye wanayoyataka na vile wanavyotaka."
Quran imeandika
6. As for those who disbelieve—it is the same for them, whether you have warned them, or have not warned them—they do not believe.
7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.
Utasemaje Allah anawaacha wanaomuasi huru wafanye watakavyo wakati Quran imesema wazi kwamba Allah anawafunga mioyo, macho na masikio wasimjue?
Unapingana na Quran?
Quran inasema Allah kawaziba mioyo, macho na masikio wasimjue, wewe unasema kawapa uhuru.Napingana na Qur'an kivipi ? Unapoambiwa hata wakikanywa hawakanyiki hata usipowakanya wako vile vile ? Hapo nazungumzia ule uhuru ambao Allah amewapa waja wake ndio maana wakilinganiwa wapo wanao kubali waashi na wapo wanao kadhibisha waadhi.
Soma vyema aya hizo na usome kwa umakini hoja zangu.
7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.Hivi unaelewa nini unapoambiwa kwenye mioyo masikio na macho yao kuna vizibo ?
Nakielewa vyema mzee ndio maana nakujibu hivyo.Qur'an haisomwi kama unavyosoma magazeti,angalia huo mtiririko wa aya tangu ya kwanza na mpaka hiyo ya saba.Allah anawafanya hivyo baada ya wao kukadhibisha maneno na anawaelekezea kule walipopataka wao.Qur'an inasomwa kwa mazingatio na inajitafsiri yenyewe.Quran inasema Allah kawaziba mioyo, macho na masikio wasimjue, wewe unasema kawapa uhuru.
Unajua kusoma Kiingereza?
7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.
Kaka unachemka lazima ujue kutodautisha wakati uliopo kwa uliopita hapo nikezungumzia tokeo sasa sijui nimepindisha wapi ?7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.
Siyo kwenye mioyo nasikio na macho kuna vizibo.
Allah kaweka vizibo kwenye mioyo, masikio na macho yao.
Usipindishe habari kusema "kwenye mioyo masikio na macho yao kuna vizibo" bila kumtaja nani kaweka vizibo.
Halafu endelea kusoma aya ya na 8 na kuendela uone Allah alivyoelezea hali zao na matakavyo lipwa.7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.
Siyo kwenye mioyo nasikio na macho kuna vizibo.
Allah kaweka vizibo kwenye mioyo, masikio na macho yao.
Usipindishe habari kusema "kwenye mioyo masikio na macho yao kuna vizibo" bila kumtaja nani kaweka vizibo.
Endelea kusoma mpaka aya ya 20.7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.
Siyo kwenye mioyo nasikio na macho kuna vizibo.
Allah kaweka vizibo kwenye mioyo, masikio na macho yao.
Usipindishe habari kusema "kwenye mioyo masikio na macho yao kuna vizibo" bila kumtaja nani kaweka vizibo.
Ndicho kitu mnachokimbilia kusema Quran haisomwi kama unavyosoma gazeti.Nakielewa vyema mzee ndio maana nakujibu hivyo.Qur'an haisomwi kama unavyosoma magazeti,angalia huo mtiririko wa aya tangu ya kwanza na mpaka hiyo ya saba.Allah anawafanya hivyo baada ya wao kukadhibisha maneno na anawaelekezea kule walipopataka wao.Qur'an inasomwa kwa mazingatio na inajitafsiri yenyewe.
Ukichoandika hakieleweki.Kaka unachemka lazima ujue kutodautisha wakati uliopo kwa uliopita hapo nikezungumzia tokeo sasa sijui nimepindisha wapi ?
Mzee mimi nazungumzia elimu sio porojo nimekwambia endelea kusoma mpaka mpaka aya ya 20,utaelewa tu.Ndicho kitu mnachokimbilia kusema Quran haisomwi kama unavyosoma gazeti.
Hilo tu linaonesha hiki si kitabu cha Mungu, ni kitabu kimeandikwa na watu.
Unapinga Quran haijasema kwamba Mungu ataweka vizibo kwenye mioyo, masikio na macho ya watu?
Nimesoma hapo juu pote, tena nimepaweka hapa JF.
Hakuna sehemu ambayo imekanusha kwamba Mungu wengu atafunga watu wake aliowaumba mwenyewe wasimjue.
Nioneshe hiyo sehemu.
Quran hata kama aya zote ziko sawa, aya moja tu ikiwa fyongo, hilo linaleta shaka kwamba hiki ni kitabu cha Mungu.Halafu endelea kusoma aya ya na 8 na kuendela uone Allah alivyoelezea hali zao na matakavyo lipwa.
Kwahiyo aya zijatafsiriwa kwa aya nyingine au kwa maneno ya Mtume amani ya Allah iwe juu yake.
Halafu kuambiwa kwamba Qur'an haisomwi kama yanavyosomwa magazeti huo ndio ukweli na kauli hii haibadilishi ukweli muhimili ya Qur'an ni kitabu cha Allah aliyetukuka.Ndicho kitu mnachokimbilia kusema Quran haisomwi kama unavyosoma gazeti.
Hilo tu linaonesha hiki si kitabu cha Mungu, ni kitabu kimeandikwa na watu.
Unapinga Quran haijasema kwamba Mungu ataweka vizibo kwenye mioyo, masikio na macho ya watu?
Nimesoma hapo juu pote, tena nimepaweka hapa JF.
Hakuna sehemu ambayo imekanusha kwamba Mungu wengu atafunga watu wake aliowaumba mwenyewe wasimjue.
Nioneshe hiyo sehemu.
Kwa nini niendelee kusoma mpaka aya ya 20?Endelea kusoma mpaka aya ya 20.
Unajuaje kama nitaelewa tu?Mzee mimi nazungumzia elimu sio porojo nimekwambia endelea kusoma mpaka mpaka aya ya 20,utaelewa tu.
Hilo na kataa na haliwezekani na kamwe haiwezi kuwa fyongo ndio maana nikakupa msingi wa jinsi Qur'an inavyotafsiriwa.Quran hata kama aya zote ziko sawa, aya moja tu ikiwa fyongo, hilo linaleta shaka kwamba hiki ni kitabu cha Mungu.
Hilo unakubali au hukubali?
Hii aya inasema Mungu ameweka vizibo katika mioyo, masikio na macho ya watu.
Hilo unakubali au unakataa?
7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.
Nemesema utaelewa sababu una majibu ya hiyo aya ya saba uliyo inukuu.Unajuaje kama nitaelewa tu?
Usomi wako ndio huu wa kukisia nitaelewa wakati hata kabla sijasoma?
Huo ndio usomi?
Kulazimisha matokeo ndio usomi?
Halafu kuambiwa kwamba Qur'an haisomwi kama yanavyosomwa magazeti huo ndio ukweli na kauli hii haibadilishi ukweli muhimili ya Qur'an ni kitabu cha Allah aliyetukuka.
Pili,sema hoja nyingine kuonyesha shaka yako juu ya kitabu cha Allah.