Uwepo wa maisha nje ya sayari ya Dunia, Utathibitisha hakuna Mungu

AKILI ZETU NDOGO HIZI(ZINAZOJIITA GT)ZA HUMU JF HAZITOSHI/HAZIWEZ KUMCHUNGUZA M.MUNG,LETA MAADA NYINGINE TU!!..
1474030421778.jpg
1474030439195.jpg
1474030444338.jpg
 
Wewewew aliens are the most intelligent creatures ever, programs nyingi unazoionaa duniani wameinvert waooo,
ndo maana wanaanza kuwaintroduce kwenye movies kama vile Minions?
hahaha, acha uongo we jamaa, hao ni mijusi tuu, na sio kweli yoyote....usidanganyike!
 
Wanasayansi wa anga kila uchao wanafanya tafiti kujua kama kuna maisha ya viumbe hai nje ya sayari ya dunia.

Vitabu vitakatifu vinatuambia kua binadamu ni viumbe pekee spesho katika macho ya mwenye enzi Mungu.Hivo basi kama ikagundulika sayari nyingine ina intelligent life basi itakua sisi binadamu sio spesho kama visemavyo vitabu.

Kama binadamu sio spesho basi vitabu vinasema uongo na hata huyo Mungu hayupo.
Reasoning yako imepinda... haijanyooka
 
Mungu aliumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
 
Africa kuna mambo kwa America na kwingineko watu wanaopinga uwepo wa Mungu wengi wao ni wasomi wakubwa wana IQ kubwa sana wamevumbua machine na technology za ajabu.

Ila Tanzania wanaopinga uwepo wa Mungu ni wavuta bangi na vilaaza walalahoi wasiojitambua.
Ila kweli mkuu
 
So what!.Hiyo inathibitisha mungu yupo?
 
Quran inakwambia kuna watu Allah kafanya kwa makusudi mioyo yao iwe migumu kumuelewa.

Halafu watu hawa, siku ya kiyama, Allah atawahukumu na kuwachoma moto, kwa sababu hawajamjua.

Hata kama hawajamjua kwa sababu Allah mwenyewe aliwafunga mioyo yao wasimjue.

Huyo Mungu kweli yupo au ni stories tu?
Nitajie hayo maneno katika Qur'an nayapata wapi ?
 
Quran inakwambia kuna watu Allah kafanya kwa makusudi mioyo yao iwe migumu kumuelewa.

Halafu watu hawa, siku ya kiyama, Allah atawahukumu na kuwachoma moto, kwa sababu hawajamjua.

Hata kama hawajamjua kwa sababu Allah mwenyewe aliwafunga mioyo yao wasimjue.

Huyo Mungu kweli yupo au ni stories tu?
Allah anasema hawapi adhabu waja mpaka awafikishie ujumbe ya kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa isipokuwa yeye.

Sasa unaposema kuna watu Allah ameifanya mioyo ya watu iwe migumu kwa makusudi embu niambie wapi kayasema hayo katika Qur'an na msiwe mnaandika vitu vya hovyo kisa mna vitendea kazi vya kuandika.

Mzee jifunze kufatilia mambo kwa kina najua umenyimwa misingi ya jinsi gani uutafute ukweli na kuitafuta haki.

Mzee unatakiwa uwe mkweki wa maneno kadhalika mkweli wa vitendo,kuzua vitu ni jambo baya na lenye kuchukiza na linamchukiza sana Allah aliyetukuka.

Tujaribu kuwa na uoga hata wa kuzungumza.

Allah aliyetukuka ni mudilifu sana ana huruma kwa waja wake na ni mmbora wa kuhukumu.Allah hamdhulumu mja na Allah amempa mja uhuru wa kuchagua na kufanya alitakalo na kwa yule atakaye Fanya wema atamlipa kheri tele na yule atakaye kufuru atamuadhibu.

Mfano mzuri ona Allah alivyompa muhula Firauni lakini hakujali na alipetuka mipaka akawa anasema "Mimi ndiye Mola mkuu".Lakini akaja kustuka wakati ulikuwa umemtupa mkono.

Allah aliyetukuka ana huruma sana kwa viumbe vyake ndio maana leo unakuta wanamuasi lakini anazidi kuwalea na kuwapa pumzi hili hawalioni.

Dhiki na matatizo ya dunia ni chumo la mikono yetu sisi waja na Allah hayabadilishi yale yaliyopo kwenye mioyo yetu mpaka sisi wenyewe tutake kubadilika na tutie azma ya kweli ya kutaka kubadilika.

Allah eweka siku ya hukumu na ndio sio ya malipo kwa mja kwa yale aliyoyatenda hapa duniani.Na viumbe watakao pewa pepo na moto ni majini na watu wasiokuwa hao wataitwa na wataambiwa kuweni mchanga wenye kupotea watakuwa mchanga na watapotea.Wataambiwa hivyo baada ya wao pia kupewa hukumu zao,yaani hata yule mnyama aliyempiga pembe mwenzie kwa dhulma huku duniani ataitwa mbele pamoja na yule aliyempiga kwa dhulma,yule aliyepigwa ataambiwa amrudishie kisha watakuwa mchanga wenye kupotea.

Lakini kwa wale wenye kukufuru siku hiyo itakuwa ya majuto kwao wao,na nina muomba yule ambaye nafsi ipo mikononi mwake atujaalie tusiwe miongoni mwao,waliokufuru watatamani wangekuwa mchanga.

Allah ni mjuzi wa kuadhibu na anafanya atakavyo na hakuna wa kumuuliza kwa yale anayoyafanya.

Kwahiyo hayo maneno yako si kweli ndio maana nimekwambia uniambie wapi hayo maneno yapo katika Qur'an.
 
http://www.clearquran.com/downloads/quran-english-translation-clearquran-edition-allah.pdf

Kwa nini Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote aifanye mioyo ya watu kuwa migumu kumuelewa?

Akiingilia maisha ya watu kwa kuifanya mioyo yao iwe migumu kumuelewa, halafu wasipomuelewa, atakuwa na haki ya kuwahukumu kwa sababu hawajamuelewa?

2. THE HEIFER (al-Baqarah)

In the name of Allah, the Gracious, the Merciful

1. Alif, Lam, Meem.

2. This is the Book in which there is no doubt, a guide for the righteous.

3. Those who believe in the unseen, and per-form the prayers, and give from what We have provided for them.

4. And those who believe in what was revealed to you, and in what was revealed before you, and are certain of the Hereafter.

5. These are upon guidance from their Lord. These are the successful.

6. As for those who disbelieve—it is the same for them, whether you have warned them, or have not warned them—they do not believe.

7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.

8. Among the people are those who say, "We believe in Allah and in the Last Day," but they are not believers.

Aya iko wazi sana mzee.Wapo watu ambao wakifikishiwa haki wanaikadhibisha na wanapopewa nasaha wanazipuuza watu hawa kamwe wanakuwa hawajatenzwa nguvu kwani hiyo ndiyo njia wanayokuwa wamejichagulia wao.

Hili lilimkuta hata baba yake mdogo na mtume wetu kwani yeye alikuwa nishirikina na kamwe hakuukubali ujumbe aliokuja nao mwanae na katika hali ya kibidamu mtume akawa anatamani baba ake asilimu lakini haikuwa hivyo na alikufa kafiri.

Lakini swali la msingi ni kwamba hakuna ajuaye kwamba amepigwa muhuri au la.Cha msingi ni kufuata haki.
 
Kwa nini Mungu anawaziba watu mioyo macho na masikio wasimjue, badala ya kuwafungua mioyo macho na masikio wamjue?
 
http://www.clearquran.com/downloads/quran-english-translation-clearquran-edition-allah.pdf

Kwa nini Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote aifanye mioyo ya watu kuwa migumu kumuelewa?

Akiingilia maisha ya watu kwa kuifanya mioyo yao iwe migumu kumuelewa, halafu wasipomuelewa, atakuwa na haki ya kuwahukumu kwa sababu hawajamuelewa?

2. THE HEIFER (al-Baqarah)

In the name of Allah, the Gracious, the Merciful

1. Alif, Lam, Meem.

2. This is the Book in which there is no doubt, a guide for the righteous.

3. Those who believe in the unseen, and per-form the prayers, and give from what We have provided for them.

4. And those who believe in what was revealed to you, and in what was revealed before you, and are certain of the Hereafter.

5. These are upon guidance from their Lord. These are the successful.

6. As for those who disbelieve—it is the same for them, whether you have warned them, or have not warned them—they do not believe.

7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.

8. Among the people are those who say, "We believe in Allah and in the Last Day," but they are not believers.

Na watu hao wanapigwa vizibo katika mioyo yao baada ya wao kukadhibisha ujumbe kutoka kwake,lakini ikitokea ukatubu toba ya kweli Allah husamehe kila kosa.

Na mtume alayhi salaam anasema " Kila mwanadamu ni mwenye kukosea na mmbora wa wenye kukosea ni yule mwenye kutubia".

Mathalani leo hii wewe unakataa uwepo wake sio kwamba hakuoni wala hakusikii anakuona na anakusikia lakini anakupa muda huenda ukaja kutubia lakini wewe unayafanya hayo kwa matakwa yako wala hajalazimishwa na mtu kuamini hivyo.Huo ndio mwenendo wa Allah kwa waja wake wala hutakuta ni wenye kubadilika.
 
Mungu muweza yote na mjuzi wote akishaweza kizibo kwenye moyo wako usimjue utawezaje kumjua?

Ina maana unaweza kuwa na nguvu za kuzidi hicho kizibo cha Mungu?

6. As for those who disbelieve—it is the same for them, whether you have warned them, or have not warned them—they do not believe.

7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.

Wewe umekatazwa hata kujaribu kunielezea habari za Mungu wako mimi nisiyeamini.

Kwa sababu Mungu wako kaniwekea kizibo nisimjue.

Unajua hapa haya mazungumzo unayoyafanya na mimi unavunja maagizo ya Quran?
 
Mungu muweza yote na mjuzi wote akishaweza kizibo kwenye moyo wako usimjue utawezaje kumjua?

Ina maana unaweza kuwa na nguvu za kuzidi hicho kizibo cha Mungu?

6. As for those who disbelieve—it is the same for them, whether you have warned them, or have not warned them—they do not believe.

7. Allah has set a seal on their hearts and on their hearing, and over their vision is a veil. They will have a severe torment.

Wewe umekatazwa hata kujaribu kunielezea habari za Mungu wako mimi nisiyeamini.

Kwa sababu Mungu wako kaniwekea kizibo nisimjue.

Unajua hapa haya mazungumzo unayyafanya na mimi unavunja maagizo ya Quran?
Jibu la swali lako linajibiwa na mfano huu.Washirikina wa zamani walikuwa na miungu yao katiaka kila jambo walikuwa na mungu wa Chakula mungu wa afya na mfano wa hao.

Washirikina hawa walikuwa wanafanya hivyo kwa hiyari yao na machaguo yao.

Katika safari zao za majini pindi walipokuwa wanakutwa na dhoruba za bahari walikuwa wanamtaka msaada Mola aliyejuu na kuwacha kuwaomba miungu wao wa kishirikina na pindi wanapookolewa kutokana na hizo dhoruba wanarudi kumuasi mola aliyetukuka.

Anacho kifanya Allah kwa waja wake wanao muasi ni kuwaacha huru wafanye wanayoyataka na vile wanavyotaka.

Ukitaka Allah akuongoze anakuongoza na ukitaka upotee ana kuacha upotee,sababu ameshakupa uhuru wa kuchagua unachokitaka.

Leo sisi tunao amini uwepo wake na amri zake,tunajua ya kuwa kuzini ni dhambi na mfano wa madhambi mengine mengine lakini huwa tunakumbushana wenyewe kwa wenyewe na kupeana miongozo ya jinsi ya kuacha yale maovu tunayoyafanya kwahiyo mwenye kukubali kosa na kutubia Allah anampa msaada wa kuliacha ovu lake kwa wepesi.Allah anajua zaidi.
 
Back
Top Bottom