REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Sipo popote namfuata Mungu personal sababu kila mtu atajieleza kivyake.Wewe upo kundi lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo popote namfuata Mungu personal sababu kila mtu atajieleza kivyake.Wewe upo kundi lipi?
Hivyo viumbe vingingine huko sayari nyingine vingekuwa interigent kuliko sisi binadamu vingegundua dunia na uwepo wetu kabla sisi hatujawagundua
mhhhh kama tunaishi nao na hatuwagundui bas ni viumbe wa ajabu.Mkuu, Inawezekana wao walishatugundua Ila kwakuwa hatuko intelligent enough hatujui Kama tunaishi nao humu humu duniani.
Hili sasa povu mkuu [emoji3]Africa kuna mambo kwa America na kwingineko watu wanaopinga uwepo wa Mungu wengi wao ni wasomi wakubwa wana IQ kubwa sana wamevumbua machine na technology za ajabu.
Ila Tanzania wanaopinga uwepo wa Mungu ni wavuta bangi na vilaaza walalahoi wasiojitambua.
Wewe umeongea hapa?Au umeandika?Hivi mnao sema Mungu amesema, Mungu alisha wahi kuongea wapi!!?
Qur'an 76:1 inasema hiviKitabu gani cha dini kilichosema binadamu ni viumbe pekee?
Sima Qur'an 76:1
"Hakika ulimpitia Binadam wakati mrefu katika dahari,hakuwa kitu kinachotajwa.(Binadamu ndio kiumbe wa Mwisho kuumbwa).
Kama kusali hakuondoi dhiki basi haina maanasasa kusali ndo kunaondoa dhiki?
Umeeleweka Mkuu.Kitabu gani cha dini kilichosema binadamu ni viumbe pekee?
Sima Qur'an 76:1
"Hakika ulimpitia Binadam wakati mrefu katika dahari,hakuwa kitu kinachotajwa.(Binadamu ndio kiumbe wa Mwisho kuumbwa).
Soma Zab: 53 yote.Wanasayansi wa anga kila uchao wanafanya tafiti kujua kama kuna maisha ya viumbe hai nje ya sayari ya dunia.
Vitabu vitakatifu vinatuambia kua binadamu ni viumbe pekee spesho katika macho ya mwenye enzi Mungu.Hivo basi kama ikagundulika sayari nyingine ina intelligent life basi itakua sisi binadamu sio spesho kama visemavyo vitabu.
Kama binadamu sio spesho basi vitabu vinasema uongo na hata huyo Mungu hayupo.
Dhiki kuiondoa inabidi ufanye kazi, Sala ina faida kubwa tu kwenye ulizi wako binafsi na mambo mengine mengi, ila usitegemee ubweteke sala zikuletee ugali..Kama kusali hakuondoi dhiki basi haina maana
viumbe wengine wapo kwenye sayari nyingine kwenye makundi mengine ya mifumo ya jua. ila binadamu yupo hapa duniani tu kwa muda maalum. (kama unaamini dini)Wanasayansi wa anga kila uchao wanafanya tafiti kujua kama kuna maisha ya viumbe hai nje ya sayari ya dunia.
Vitabu vitakatifu vinatuambia kua binadamu ni viumbe pekee spesho katika macho ya mwenye enzi Mungu.Hivo basi kama ikagundulika sayari nyingine ina intelligent life basi itakua sisi binadamu sio spesho kama visemavyo vitabu.
Kama binadamu sio spesho basi vitabu vinasema uongo na hata huyo Mungu hayupo.
Mungu hana upendeleo, kama aliwashushia MANA jangwani enzi za Mussa na haruni, Sasa Anashindaje kumshushia Japo kipande cha andazi Maskini mcha mungu anayekaribia kufa na njaa ??? kwani Mungu ana upendeleo??Dhiki kuiondoa inabidi ufanye kazi, Sala ina faida kubwa tu kwenye ulizi wako binafsi na mambo mengine mengi, ila usitegemee ubweteke sala zikuletee ugali..
Hata Biblia imeandika asiefanya kazi na asile
Hapo sasa unakuwa unamjaribu Mungu, Mungu hafanyi kazi yake kwa kufundishwa au kuambiwa jukumu lake....Mungu hana upendeleo, kama aliwashushia MANA jangwani enzi za Mussa na haruni, Sasa Anashindaje kumshushia Japo kipande cha andazi Maskini mcha mungu anayekaribia kufa na njaa ??? kwani Mungu ana upendeleo??
cC. Kiranga