Uwepo wa maisha nje ya sayari ya Dunia, Utathibitisha hakuna Mungu

Uwepo wa maisha nje ya sayari ya Dunia, Utathibitisha hakuna Mungu

Hapo sasa unakuwa unamjaribu Mungu, Mungu hafanyi kazi yake kwa kufundishwa au kuambiwa jukumu lake....

Nakila linalotokea huwa lina sababu yakutokea
Mzinzi ameumbwa na Mungu, na Mchamungu pia ameumbwa na Mungu, so Hapo unadhani Mungu amekosea? Au alishindwa kumfanya mzinzi awe mcha mungu???
But finnaly mzinzi anakwenda kuchomwa...
Dah
 
Mungu hana upendeleo, kama aliwashushia MANA jangwani enzi za Mussa na haruni, Sasa Anashindaje kumshushia Japo kipande cha andazi Maskini mcha mungu anayekaribia kufa na njaa ??? kwani Mungu ana upendeleo??
cC. Kiranga
Hapo ndipo utakapoona huyo Mungu hayupo, ni stories tu.

Na jinsi watu wanavyozidi kuelimika, huu ujinga unafutika.
 
Mzinzi ameumbwa na Mungu, na Mchamungu pia ameumbwa na Mungu, so Hapo unadhani Mungu amekosea? Au alishindwa kumfanya mzinzi awe mcha mungu???
But finnaly mzinzi anakwenda kuchomwa...
Dah
Quran inakwambia kuna watu Allah kafanya kwa makusudi mioyo yao iwe migumu kumuelewa.

Halafu watu hawa, siku ya kiyama, Allah atawahukumu na kuwachoma moto, kwa sababu hawajamjua.

Hata kama hawajamjua kwa sababu Allah mwenyewe aliwafunga mioyo yao wasimjue.

Huyo Mungu kweli yupo au ni stories tu?
 
Aisee
 
Hili sasa povu mkuu [emoji3]
anaachaje kutokwa na povu c anajua watu wameshamjua mungu wake kuwa ni tax collector, sadaka collector, michango collector, hela za maombi collector na mwisho wa siku waumini wanakuwa Nothing getter...

na kila huyo muumini alichokipata kwa nguvu zake anasema mungu kanibariki, alivyokua na akili mbovu..

it is very abnormal to praise and worship EMPTINESS.
 
Halafu mtu anakwambia ni bora aamini Mungu yupo halafu asiwepo kuliko asimini yupo wakati yupo.

Kama hayupo halafu unapunwa hivi kwa ujinga wa kuogopa kichunguza kidogo tu kwa akili huru tu kuna ubora gani?
 
Kwa imani yangu ni kuwa Mungu ameumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Yeye yuko kila sehemu, na yawezekana hilo jua tunalolizunguka ndipo yupo. Au yuko kwenye nyota fulani ambayo tunahangaika kursrutsch uhai huko. Na kama ndio yuko kwenye hiyo sayari waliogundua iko bil 40km kutoka duniani basi binadamu ndio itakuwa mwisho wa upeo wake na hataweza kufika huko milele
 
Hivyo viumbe vingingine huko sayari nyingine vingekuwa interigent kuliko sisi binadamu vingegundua dunia na uwepo wetu kabla sisi hatujawagundua
Wewewew aliens are the most intelligent creatures ever, programs nyingi unazoionaa duniani wameinvert waooo,
 
Back
Top Bottom