Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
Au huwa ni mikwara tu?kila goti litapigwa mbele ya Trump
Albadri ifanye kazi kama kweli kuna majini
MythAu huwa ni mikwara tu?
Tatizo linaweza kuwa ni nini?unaenda arabuni wakati muafrika tu hapa na uchawi wake hakutoboa ukoloni
jibu lipo wazi mkuuTatizo linaweza kuwa ni nini?
Waende Iran, utajiri ni nje njeKama huamini njoo hapa ileje na kuku mweupe
Maigizo au?jibu lipo wazi mkuu
Elimu ,Bila ya kuwa na elimu ya kutosha unaweza vipi kumaintain hivyo viumbe !??Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
100%Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
Hawa jama ndio hufundisha wengine kuhusu nguvu ya majini🤣🤣Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
Hizi dini ni ulaghai mtupuWengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
Story za majini zimetokana na middle east mythology na ndio maana zikawa zimeingizwa kwenye dini zilizoanzia hapo.Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
Najaribu kufikiria Afghanistan, Iraq, Libya, Iran; naona tunavyoaminishwa ni vya uongo tu.Sasa we unasema uchaw Trump ana freemason na illuminati wanampa nguvu