Uwepo wa majini huwa ni stori za kusadikika tu au uwa ni kweli?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?​
 
Elimu ,Bila ya kuwa na elimu ya kutosha unaweza vipi kumaintain hivyo viumbe !??
 
Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?​
Story za majini zimetokana na middle east mythology na ndio maana zikawa zimeingizwa kwenye dini zilizoanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…