moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Aisee...niliwahi kusikia ROLLS ROYCE wanahusika pia na utengenezaji wa ENGINE za ndege
Umedadavua vizuri sana ukiwa na mifano hai...hata ndege ya Trump ina Engine ya Rolls royce,engine za rolls Royce zinasifika kuwa na kelele ndogo na ufanisi mzuri so ni kawaida Airbus kuwa na Engine ya Rolls Royce
pia ni vizuri kuwa na hiyo Engine kwa sababu nilisikia Trump anasema baadhi ya Airport ni noise restricted so huwezi kuruhusiwa kutua na ndege yenye kerere
niliwahi kusikia ROLLS ROYCE wanahusika pia na utengenezaji wa ENGINE za ndege
Umedadavua vizuri sana ukiwa na mifano hai...
Kongole sana mkuu.
niliwahi kusikia ROLLS ROYCE wanahusika pia na utengenezaji wa ENGINE za ndege
Ndio. Ilivyoniliwahi kusikia ROLLS ROYCE wanahusika pia na utengenezaji wa ENGINE za ndege
Fact that unamtumia Trump kwenye mifano yako, utakuwa 'clown' kama yeyeupo sahihi, Rolls Royce hutengeneza Engine za ndege,unaweza kununua ndege yenye Engine ya Airbus ukatoa ukaweka ya Rolls Royce kama Trump alivofanya kwenye ndege yake binafsi
so naona Serikali ya Tanzania iliweka specifications kwamba wanataka Ndege hiyo iwekwe Engine ya Rolls Royce au ni Airbus wenyewe waliamua kufanya hivo
Fact that unamtumia Trump kwenye mifano yako, utakuwa 'clown' kama yeye
Chadema bwana, mkuu umepoteza nguvu zako kuwaelezea, walikuwa wanadhani nayo ni kiki!hata ndege ya Trump ina Engine ya Rolls royce,engine za rolls Royce zinasifika kuwa na kelele ndogo na ufanisi mzuri so ni kawaida Airbus kuwa na Engine ya Rolls Royce
pia ni vizuri kuwa na hiyo Engine kwa sababu nilisikia Trump anasema baadhi ya Airport ni noise restricted so huwezi kuruhusiwa kutua na ndege yenye kerere
Wapo kuku wa mayai ambao bila kuitaja chadema hawatagi na kuna wanawake asipoitaja chadema haishiki preg.Chadema bwana, mkuu umepoteza nguvu zako kuwaelezea, walikuwa wanadhani nayo ni kiki!
Engine za rolleys royce zimetumika kwenye ndege nyingi tu, kama..
Airbus A330, A340, A350, and A380, Boeing 777, boeing 787 Dreamliner. N.k.