daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kwa hiyo Airbus hawatengenezi engine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rolls Royce,ni kampuni inayotengeneza injini za meli,boats,engine za majenereta,ni kampuni ya kigerman,wapo na ubia na MTU german,ambao vile vile ni bland ya diesel engine,zinazotumika kwenye mining trucks,meli,boats,Hawa airbus wanatengeneza Ndege,lakini kwa upande wa engine wanatumia za MTU/rolls royce,wangeweza kutumia hata za scania,caterpillar,lakini MTU/rolls-royce,wamebobea ktk engine za Ndege.Meli,Wakuu,
Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA.
Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa.
View attachment 1553543
Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls Royce's na Airbus.
Kila la heri wakuu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Magufuli tenaaa....
Hata Emgine za Meli na MaboatHawaishii katika kutengeneza Engine tu, wanayo pia Majenereta ambayo huwa yanatumika sana Migodini
Ile ya nyumbu ilifutwa na mabeberu wakaweka yao, hawapendi maendeleo yetu baada ya kuona tumewazidi hata kwenye ndege.Wakuu,
Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA.
Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa.
View attachment 1553543
Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls Royce's na Airbus.
Kila la heri wakuu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Magufuli tenaaa....
Kampuni inayotengeneza injini za ndege ikiamua kutengeneza ndege itafirisika. Vilevile kampuni inayotengeneza ndege ikiamua kutengeneza injini itafirisika.Kwa hiyo Airbus hawatengenezi engine
Wanatengeneza hadi Engine za MeliKuhusu uwepo wa engine za Rolce Royce ni kwamba hawa jamaa biashara yao kubwa ni kutengeneza Engine za ndege.
Kuna wakati walijiingiza kwenye biashara ya kutengeneza magari ya kifahari lakini baadae waliuza hii division ya magari kwa kampuni ya BMW.
Kuwepo kwa Engine ya Rolce Royce kwenye ndege sio uamuzi wa mnunuaji bali ni maamuzi ya mtengenezaji.
Ndege mpya inapokuwa inasanifiwa, makampuni mbalimbali ya kutengeneza Engine (Mfano General Electric, Rolce Royce) hutengeneza Engine ambayo mtengenezaji wa ndege atahitaji kutokana na specification alizotaka mtengenezaji.
Kampuni itakayotengeneza Engine bora na yenye kukidhi vigezo ndio itakayoshinda tenda ya kutengeneza Engine kwenye hio model mpya ya ndege.
Mfano wakat airbus wanatangaza ndege mpya Airbus A350-1000 General Eelectric (GE) na Rolce Royce wote walileta proposed Engine zao mwisho wa siku Rolce Royce wakashinda na Engine yao ya TRENT XWB, Kwenye tender ya Model mpya ya Boeing 747 yani Boeing 747-8 General Electric walifanikiwa kushinda na Engine yao ya GE90.
Hivyo suala la engine ni mapendekezo ya mtengenezaji kwa sababu yeye ndie anaejua ndege yake imetengenezwa kwa malengo ya kukidhi mahitaji yapi na kwa viwango gani.
Rolls Royce,ni kampuni inayotengeneza injini za meli,boats,engine za majenereta,ni kampuni ya kigerman,wapo na ubia na MTU german,ambao vile vile ni bland ya diesel engine,zinazotumika kwenye mining trucks,meli,boats,Hawa airbus wanatengeneza Ndege,lakini kwa upande wa engine wanatumia za MTU/rolls royce,wangeweza kutumia hata za scania,caterpillar,lakini MTU/rolls-royce,wamebobea ktk engine za Ndege.Meli,
Boats/ferry's nyingi za hapa bongo zote zinatymia engine za MTU.
Asante kwa somo,nimejifunzaKuhusu uwepo wa engine za Rolce Royce ni kwamba hawa jamaa biashara yao kubwa ni kutengeneza Engine za ndege.
Kuna wakati walijiingiza kwenye biashara ya kutengeneza magari ya kifahari lakini baadae waliuza hii division ya magari kwa kampuni ya BMW.
Kuwepo kwa Engine ya Rolce Royce kwenye ndege sio uamuzi wa mnunuaji bali ni maamuzi ya mtengenezaji.
Ndege mpya inapokuwa inasanifiwa, makampuni mbalimbali ya kutengeneza Engine (Mfano General Electric, Rolce Royce) hutengeneza Engine ambayo mtengenezaji wa ndege atahitaji kutokana na specification alizotaka mtengenezaji.
Kampuni itakayotengeneza Engine bora na yenye kukidhi vigezo ndio itakayoshinda tenda ya kutengeneza Engine kwenye hio model mpya ya ndege.
Mfano wakat airbus wanatangaza ndege mpya Airbus A350-1000 General Eelectric (GE) na Rolce Royce wote walileta proposed Engine zao mwisho wa siku Rolce Royce wakashinda na Engine yao ya TRENT XWB, Kwenye tender ya Model mpya ya Boeing 747 yani Boeing 747-8 General Electric walifanikiwa kushinda na Engine yao ya GE90.
Hivyo suala la engine ni mapendekezo ya mtengenezaji kwa sababu yeye ndie anaejua ndege yake imetengenezwa kwa malengo ya kukidhi mahitaji yapi na kwa viwango gani.
Mkuu lucas Tanzania haina huo ubavu wa kuiambia Airbus cha kufanya. Ubavu ulikuwa kujadiliana 10% kwenye kununua iyo ndege
Wewe bwege kweli akili Kama ya kuku. Kwenye picha imeandikwa kabisa "Rolls Royce" wewe kwenye heading umeandika utumbo wa mbuzi. Hivi hicho ki Tecno chako hakina spell check?Wakuu,
Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA.
Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa.
View attachment 1553543
Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls Royce's na Airbus.
Kila la heri wakuu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Magufuli tenaaa....
Na Trump alivyo bogus sijui kama ana machaguo sahihi huwa simuelewi kabisa.Fact that unamtumia Trump kwenye mifano yako, utakuwa 'clown' kama yeye
Trump anaeleweka vizuri tu sema wewe huelewi kiingereza. Wewe umezowea kiingereza cha VETANa Trump alivyo bogus sijui kama ana machaguo sahihi huwa simuelewi kabisa.
Hapo kampuni tatu ni za kimarekaniNimekupa thanks kwa vile una kiu ya kujua.
Mkuu Rolls Royce ni mtengenezaji wa Jet Propulsion engines maarufu sana duniani.
Mtengenezaji ndege huwa hatengenezi Jet Engines, yeye anatengeneza fuselage(body) ya ndege.
Watengenezaji maarufu wa Jet Engines ni kama General electric , Pratt and Whitney , Rolls Royce , Northrop Grumman.
Haya ni makmpuni makubwa ya kutengeneza engines na yamejipatia umaarufu na utajiri mkubwa kutokana na kutengeneza vile vile engines kwa ndege za kivita.
Kampuni ya uingereza hiyoRolls Royce,ni kampuni inayotengeneza injini za meli,boats,engine za majenereta,ni kampuni ya kigerman,wapo na ubia na MTU german,ambao vile vile ni bland ya diesel engine,zinazotumika kwenye mining trucks,meli,boats,Hawa airbus wanatengeneza Ndege,lakini kwa upande wa engine wanatumia za MTU/rolls royce,wangeweza kutumia hata za scania,caterpillar,lakini MTU/rolls-royce,wamebobea ktk engine za Ndege.Meli,
Boats/ferry's nyingi za hapa bongo zote zinatymia engine za MTU.