yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,525
- 3,139
Siyo kampunini ya kijerumani hiyo ni ya mabeberu ya kiingereza ukoo wa henryRolls Royce,ni kampuni inayotengeneza injini za meli,boats,engine za majenereta,ni kampuni ya kigerman,wapo na ubia na MTU german,ambao vile vile ni bland ya diesel engine,zinazotumika kwenye mining trucks,meli,boats,Hawa airbus wanatengeneza Ndege,lakini kwa upande wa engine wanatumia za MTU/rolls royce,wangeweza kutumia hata za scania,caterpillar,lakini MTU/rolls-royce,wamebobea ktk engine za Ndege.Meli,
Boats/ferry's nyingi za hapa bongo zote zinatymia engine za MTU.