Uwepo wa nembo ya Royce Roycee kwenye Engine za Airbus ya Air Tanzania

Kwa Boeing 787-8 a.k.a dreamliner General Electric walikuja na engine yao GEnx-1B lakini Engine ya Rolce Royce ndio ilionekana kua bora zaid kwenye Model hii kutokana na specification za mtengenezaj (Boeing) alizokua anahitaji,
 
RR wanatengeneza hizo jet engine
 
Umedadavua vizuri sana ukiwa na mifano hai...

Kongole sana mkuu.


 
Rolls Royce Hawa Ni magwij wa kutengeneza engine za ndege,, hawa ndo walitengeneza engine za Concorde ndege ya abiria yenye speed ya ajabu tangu dunia iumbwe,, wanasema speed yake ni Mara mbil zaid ya kas ya saut,,
 
Nimekupa thanks kwa vile una kiu ya kujua.
Mkuu Rolls Royce ni mtengenezaji wa Jet Propulsion engines maarufu sana duniani.
Mtengenezaji ndege huwa hatengenezi Jet Engines, yeye anatengeneza fuselage(body) ya ndege.

Watengenezaji maarufu wa Jet Engines ni kama General electric , Pratt and Whitney , Rolls Royce , Northrop Grumman.

Haya ni makmpuni makubwa ya kutengeneza engines na yamejipatia umaarufu na utajiri mkubwa kutokana na kutengeneza vile vile engines kwa ndege za kivita.
 

Rolls Royce ndo watengezaji engines za hizo Airbus.
 
Body ya ndege hiyo hakuna kitu hapo ikabidi wawawekee hiyo engine ili kuuwa soo kidogo kutokana na body kutokuwa na kiwango.
 
Hawa wanatengeneza engen za boeing
Kuna mzee mmja alikuwa mhandisi wa ATC, EAC Air line alikuwa mtaalam wa machine hizo alishahudhuria mafunzo yao(RIP)

OVA
 
Ndio watengenezaji wakubwa wa engines za ndege duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…