Uwepo wa nembo ya Royce Roycee kwenye Engine za Airbus ya Air Tanzania

Rolls Royce,ni kampuni inayotengeneza injini za meli,boats,engine za majenereta,ni kampuni ya kigerman,wapo na ubia na MTU german,ambao vile vile ni bland ya diesel engine,zinazotumika kwenye mining trucks,meli,boats,Hawa airbus wanatengeneza Ndege,lakini kwa upande wa engine wanatumia za MTU/rolls royce,wangeweza kutumia hata za scania,caterpillar,lakini MTU/rolls-royce,wamebobea ktk engine za Ndege.Meli,
Boats/ferry's nyingi za hapa bongo zote zinatymia engine za MTU.
 
Hata makampuni makubwa duniani yanayotengeneza boat, meli, submarines n.k utegemea engine zilizotengenezwa na makampuni mengine tofauti na wao. Hao hao Rolls Royce pia wana marine segment inayotengeneza engines mbalimbali za vyombo vikubwa vya majini wakishindana na makampuni mengine makubwa kabisa kama Hyundai, Cummins, Mitsubushi na Caterpillar.

Mfano hai kampuni ya SANY HEAVY INDUSTRY CO. LTD yenye makao yake makuu Changsha, China nimeshuhudia kiwandani kwao mitambo yao mingi mikubwa wanayotengeneza kwa ajili ya kutumika kwenye ujenzi wa barabara, bandarini na migodini kama excavators, cranes za aina mbalimbali, reach stackers, empty container handlers, rollers, graders, coal mining machinery, concrete mixers and plants nyingi zikiwa zimefungwa engine za kampuni ya VOLVO.
 
Ile ya nyumbu ilifutwa na mabeberu wakaweka yao, hawapendi maendeleo yetu baada ya kuona tumewazidi hata kwenye ndege.
 
Kwa hiyo Airbus hawatengenezi engine
Kampuni inayotengeneza injini za ndege ikiamua kutengeneza ndege itafirisika. Vilevile kampuni inayotengeneza ndege ikiamua kutengeneza injini itafirisika.
Popote duniani kampuni za ndege huwa hazitengenezi injini.
Ukiwaambia Boeing watengeneze injini ili watumie wanaweza tumia miaka zaidi ya 10 na wasiipate. Kwenye comments naona watu hawajaamua kutambua ubabe wa kampuni ya Honeywell Aerospace, nisijue labda inajikita tu kwenye silaha.
 
Hawa mabeberu wanatutaka nini jamani.kwanini tusianzishe viwanda vyetu 4000 vya ndege tukatengeneza ndege zetu kwa rasilimali zetu za ndani.Kwanini tukanunue kwa mabeberu wakati tunaweza kujitegemea.Hatutaki wakala wa mabeberu sisi.Aaaaah aaaaah.
 
Wanatengeneza hadi Engine za Meli
 
Asante kwa mtoa Uzi pia na walio comment I learned something ever before,.
 

Mkuu, naomba nikuweke sawa kwamba Rolls Royce ni waingereza na kampuni yaitwa Rolls Royce Holdings na makao makuu yapo London.

Baada ya Uhuru waingereza walimwachia hayati baba wa taifa hiyo gari na ikawa yapokea wageni wa kitaifa na sasa ni sehemu ya historia.

BMW wanatumia jina la Rolls Royce kama "joint venture" na yaitwa Rolls Royce Deutschland au BMW Rolls Royce kutengeneza injini ziitwazo BR700 na BR725 kwa ndege za kawaida na zile za Gulfstreem G650.

Ndege hizi i mahsusi kwa matajiri na vibosile wa makampuni na mabiashara makubwa na humo ndani zina internet ya wireless na simu za satelite.

Kuna ndege mpya kabisa yaja sokoni yaitwa Gulfstreem G700 itaanza kuuzwa 2022 na itagharimu kiasi cha dola milioni 75!
 
Asante kwa somo,nimejifunza
 
Atcl kumbe wana airbus?
 
Wewe bwege kweli akili Kama ya kuku. Kwenye picha imeandikwa kabisa "Rolls Royce" wewe kwenye heading umeandika utumbo wa mbuzi. Hivi hicho ki Tecno chako hakina spell check?
Njoo pm nikuelekeze maduka ya simu yalipo
 
Na Trump alivyo bogus sijui kama ana machaguo sahihi huwa simuelewi kabisa.
Trump anaeleweka vizuri tu sema wewe huelewi kiingereza. Wewe umezowea kiingereza cha VETA
 
Hapo kampuni tatu ni za kimarekani
 
Kampuni ya uingereza hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…