Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

wamebadilisha vipengele, kwanini wasiende?
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5

4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida

5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote

6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)

7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
 
Kama hivyo ndivyo walipaswa kuandaa waraka mwingine unao ainisha haya uliyoorodhesha hapa na usomwe tena kwa waumini kwa wiki 6. Kama vipengele vilirekebishwa na wao wakaridhia ila wakakaa nalo basi wamewafanyia sanaa waumini
 
Kutoa maoni ni haki ya kila mwananchi. Maaskofu walitoa maoni yao, lakini mwenye maamuzi ya mwisho ni serikali. Huna haja ya kuwalaumu maaskofu. Wao walishatua mzigo.
 
Kama hivyo ndivyo walipaswa kuandaa waraka mwingine unao ainisha haya uliyoorodhesha hapa na usomwe tena kwa waumini kwa wiki 6. Kama vipengele vilirekebishwa na wao wakaridhia ila wakakaa nalo basi wamewafanyia sanaa waumini
Wana deni kwa jamii
 
Usicheze mbali unga robo!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Dp world ni USA, na USA ni Vatican Tec hawana ujanja hapo wakina Lisu wanajichosha tu mwarabu katumika tu ili kupata uungwaji mkono na mazuzu wa imani yake. Akili nyingi zinatumika kupora mali za dunia hii. Bosi hamjui bosi.
 
It seems RC wameshapiga dili kimyakimya.

Zile saini za wale maaskofu 37 zimenajisiwa hivihivi.

Otherwise kwa nini wasiwe wakweli kwetu, waueleze umma na dunia kuwa kipengele gani kimebadilishwa katika IGA?

Otherwise It is shameful maaskofu kukana waraka wao kwa nyendo za aibu ya wazi namna hii!. Can't be trusted!
 
Hatetereki wapi...,mbona ameshindwa kukabili majizi ya miradi mbali?!....,na ktk ofisi za serikali, ulimsikia nani akiadhibiwa kutoka kwenye reports za CAG...,We miss Magu.
Wameshaambiwa wale kwa kamba zao zenye urefu kwa hio watakula na kula tena, tusubiri madudu ya report ijayo ya CAG ushuhudie walivyopiga tena kwenye mshono
 
Kama hivyo ndivyo walipaswa kuandaa waraka mwingine unao ainisha haya uliyoorodhesha hapa na usomwe tena kwa waumini kwa wiki 6. Kama vipengele vilirekebishwa na wao wakaridhia ila wakakaa nalo basi wamewafanyia sanaa waumini
Hizo zitakuwa siasa.
 
RC wameshapiga dili.

Can't be trusted!

Otherwise kama IGA palepale, na
kama IGA haijabsdilishwa hata nukta, basi waraka wao ulikuwa ni bure.

Otherwise utabariki vipi HGAs wakati IGA ni ileile mbovu na haijabadilishwa hata nukta?
 
Wapige dili!...?nani awape dili!?..acheni kujiosha
 
kwaio tec wamenunuliwa kwa m100 na vijizawadi kwa Kadinali wa Tabora[emoji23][emoji28]
kuna watu mnaupofu mbaya sana,hamuoni mambo yapo wazi kabisa na hamuoni,,,!
wamebadilisha vipengele, kwanini wasiende?
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5

4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida

5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote

6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)

7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
 
Huo mkataba mpya umeuona?

IGA iko vilevile, haijabadilishwa hata nukta.
 
Dah magoti mwenye kibiongo namuona kwa mbaaaali
 
Tec awakutaka maboresho ya vipengele walichosema ni mkataba ufutwe watanzania wanao uzoefu wa kusimamia bandari.
Nenda kasome waraka ndugu.tec wasanii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…