bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Sadaka ni agizo la Mungu na Sio la dhehebu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa. Ufisadi uliokuwepo kwenye mkataba wa awali kama umeondolewa tutaendelea kupinga nini tena? Hakuna aliyepinga uwekezaji wa DP World bali kuna wale wapumbavu walijaribu kuondoa mjadala uliokuwa mezani na kuleta hoja za kijinga za udini. Hakupingwa Mwarabu wala Rais kwa vile ni Muislam bali hoja ilikuwa ni vipengele nyonyaji kwenye mkataba,kama vipengele hivyo vimefutwa kuendelea kupinga ni wenda wazimu.Nilifikiri wote waliopaza sauti kupinga waliweka wazi kuwa hawapingi uwekezaji, bali vipengele katika mkataba. So kama kwa sasa vipengele vimemridhisha mhusika, sioni ubaya kwake kushirikiana nao. Mtazamo wangu.
Wabongo hawajui hilo la wajibu wao, sasa hivi wanawaza Marekani wavunje uhusiano na ccm kisa Makonda.Wajibu wa kanisa waliutimiza wajibu wako ni upi Baada ya kupata taarifa
Sent from my Mi A2 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo yanayosemwa kuwa ni 30 ni uongo?Mkuu mimi sijaongopa chochote, kelele zilikuwa zinapigwa kuhusu IGA hii iliyosainiwa jana ni HGA kwahyo mabadiliko unayoyasema hata hayahusiani, na safari nimeona ni QATAR wakati mkataba ni wa Emirates.
Mama kaonyesha ukomavu wa kisiasa kwamba hawezi kuimbishwa na watu wenye masirahi binafsi.kuna vikundi vya kihuni huwa vinadhani Rais akiamua kuwa kimya kuwasikiliza hudhani Rais anaviogopa
Samia kaacha kila mwenye vocal apige kelele, baada ya kelele kasaini Mkataba tena hadharani na kawaalika wapiga kelele wote
huyu Mama kwny hard skin ya kisiasa anafanana sana na Mwamba wa Msoga ambae husema Siasa hainogi bila ya kuzodoana
Ridhiwani aliwahi kusema kuwa Baba yake alimfundisha kuwa kwny Siasa usipopata wa kukuponda, kukukejeli na kukudhihaki basi bado hujawa Mwanasiasa mwandamizi
Umechanganya dini na siasa katika halmashauri ya akili na hisia zakoTumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Unatofautisha vp utapeli wa dini na waumini/viongozi wa dini?Bado hujajua tu kwamba Dini ni UTAPELI?
Hao TEC waliwa piga changa la macho tu..
Washa ahidiwa maokoto na gawio nono.
Asili ya mwafrika hasa mtanzania ni undumila kuwili, Sitaki nataka.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nadhani ni uelewa tu wa Mambo.Ile ni shugjuli ya serikali na jana hakukua na muda wa maoni.Waraka wa TEC utabaki palepale ukiwa ni jicho la mkataba wa DP kama serikali ilifanyia kazi yaliyopo kwenye waraka unataka kanisa libaki kupinga tu wakati mwamuzi wa mwisho ni serikali yenyewe kama kuna blunder itawajibika tu.kwa mazingira yalivyokuwa ilikuwa ni Ngumu serikali kuwakimbia DP kwa sababu ya njia waliyokutana nao.Kanisa limefanya kazi yake wananchi nasi tumebaki na kazi moja kuhakikisha nchi haipotezi sovereignty yake,kuhakikisha watanzania wenzetu pale Port hawageuzwi kuwa watumwa na pia kuwa jicho kwa sababu kwa namna ilivyo huenda Rwanda akanufaika zaidi na DP world kuliko Tanzania.Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
TEC walipinga uwekezaji na wakataka banndari iongozwe na wazawaNilifikiri wote waliopaza sauti kupinga waliweka wazi kuwa hawapingi uwekezaji, bali vipengele katika mkataba. So kama kwa sasa vipengele vimemridhisha mhusika, sioni ubaya kwake kushirikiana nao. Mtazamo wangu.
Hakuna logic ya kufanya hivyo na Hilo sio lengo la kanisa.Nadhani hujui misingi ya waraka.Waraka hauandiliwi tu kufurahisha watu huwa ni ujumbe mahisusiKama hivyo ndivyo walipaswa kuandaa waraka mwingine unao ainisha haya uliyoorodhesha hapa na usomwe tena kwa waumini kwa wiki 6. Kama vipengele vilirekebishwa na wao wakaridhia ila wakakaa nalo basi wamewafanyia sanaa waumini
Walisema uwepo ubia na sio kumpa mtu aendeshe anavyotaka.TEC walipinga uwekezaji na wakataka banndari iongozwe na wazawa
Wazawa hawaweziTEC walipinga uwekezaji na wakataka banndari iongozwe na wazawa
Kwani tuongelea waraka au maneno yako.Waraka ulihitumishwa kwa kuupinga ule mkataba ndio maana serikali imesema ilizingatia sana maoni ya wadau kwenye huu mkataba.Japo wazo la wazawa na kujijengea uwezo wetu linabaki kuwa Bora kuliko la kutafuta wanaoweka na kuchukua.Tec awakutaka maboresho ya vipengele walichosema ni mkataba ufutwe watanzania wanao uzoefu wa kusimamia bandari.
Nenda kasome waraka ndugu.tec wasanii.
Mnatapatapa, cha muhimu wajomba wamepewa bandari majizi yanahaha,Walisema uwepo ubia na sio kumpa mtu aendeshe anavyotaka.
Huyo Ngosha alimwadhibu nani!Hatetereki wapi...,mbona ameshindwa kukabili majizi ya miradi mbali?!....,na ktk ofisi za serikali, ulimsikia nani akiadhibiwa kutoka kwenye reports za CAG...,We miss Magu.
Tatizo lako unaona Kila mtu mwizi.Tunaibaje wakati hatuna kazi Wala mizigo tunayopokea kutoka Babdarini? Hivi unadhani DP world wasiposhika au kupata uendeshaji wa Dar Port ile bandari yao kavu iliyopo Rwanda itawalipa? Unadhani Kagame angefurahi jamaa zake wa DP waikose hii tenda? Unayoyaona mbele ni machache mengi yapo nyuma.Tatizo mnageuza mijadala ya taifa letu kuwa Isarel na Palestine😊Mnatapatapa, cha muhimu wajomba wamepewa bandari majizi yanahaha,