Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

Nilifikiri wote waliopaza sauti kupinga waliweka wazi kuwa hawapingi uwekezaji, bali vipengele katika mkataba. So kama kwa sasa vipengele vimemridhisha mhusika, sioni ubaya kwake kushirikiana nao. Mtazamo wangu.
Uko sahihi kabisa. Ufisadi uliokuwepo kwenye mkataba wa awali kama umeondolewa tutaendelea kupinga nini tena? Hakuna aliyepinga uwekezaji wa DP World bali kuna wale wapumbavu walijaribu kuondoa mjadala uliokuwa mezani na kuleta hoja za kijinga za udini. Hakupingwa Mwarabu wala Rais kwa vile ni Muislam bali hoja ilikuwa ni vipengele nyonyaji kwenye mkataba,kama vipengele hivyo vimefutwa kuendelea kupinga ni wenda wazimu.
 
Mama kaonyesha ukomavu wa kisiasa kwamba hawezi kuimbishwa na watu wenye masirahi binafsi.
 
Umechanganya dini na siasa katika halmashauri ya akili na hisia zako

Ukishamaliza kususa ukatoe zaka
 
Bado hujajua tu kwamba Dini ni UTAPELI?

Hao TEC waliwa piga changa la macho tu..

Washa ahidiwa maokoto na gawio nono.

Asili ya mwafrika hasa mtanzania ni undumila kuwili, Sitaki nataka.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Unatofautisha vp utapeli wa dini na waumini/viongozi wa dini?
 
Usiwaamini Watu wa mishahara mwamini Mungu TUU,Hakuna mfanyabiashara atakayetupa utajiri
 
Nadhani ni uelewa tu wa Mambo.Ile ni shugjuli ya serikali na jana hakukua na muda wa maoni.Waraka wa TEC utabaki palepale ukiwa ni jicho la mkataba wa DP kama serikali ilifanyia kazi yaliyopo kwenye waraka unataka kanisa libaki kupinga tu wakati mwamuzi wa mwisho ni serikali yenyewe kama kuna blunder itawajibika tu.kwa mazingira yalivyokuwa ilikuwa ni Ngumu serikali kuwakimbia DP kwa sababu ya njia waliyokutana nao.Kanisa limefanya kazi yake wananchi nasi tumebaki na kazi moja kuhakikisha nchi haipotezi sovereignty yake,kuhakikisha watanzania wenzetu pale Port hawageuzwi kuwa watumwa na pia kuwa jicho kwa sababu kwa namna ilivyo huenda Rwanda akanufaika zaidi na DP world kuliko Tanzania.
 
Nilifikiri wote waliopaza sauti kupinga waliweka wazi kuwa hawapingi uwekezaji, bali vipengele katika mkataba. So kama kwa sasa vipengele vimemridhisha mhusika, sioni ubaya kwake kushirikiana nao. Mtazamo wangu.
TEC walipinga uwekezaji na wakataka banndari iongozwe na wazawa
 
Kama hivyo ndivyo walipaswa kuandaa waraka mwingine unao ainisha haya uliyoorodhesha hapa na usomwe tena kwa waumini kwa wiki 6. Kama vipengele vilirekebishwa na wao wakaridhia ila wakakaa nalo basi wamewafanyia sanaa waumini
Hakuna logic ya kufanya hivyo na Hilo sio lengo la kanisa.Nadhani hujui misingi ya waraka.Waraka hauandiliwi tu kufurahisha watu huwa ni ujumbe mahisusi
 
Tec awakutaka maboresho ya vipengele walichosema ni mkataba ufutwe watanzania wanao uzoefu wa kusimamia bandari.
Nenda kasome waraka ndugu.tec wasanii.
Kwani tuongelea waraka au maneno yako.Waraka ulihitumishwa kwa kuupinga ule mkataba ndio maana serikali imesema ilizingatia sana maoni ya wadau kwenye huu mkataba.Japo wazo la wazawa na kujijengea uwezo wetu linabaki kuwa Bora kuliko la kutafuta wanaoweka na kuchukua.
 
Hatetereki wapi...,mbona ameshindwa kukabili majizi ya miradi mbali?!....,na ktk ofisi za serikali, ulimsikia nani akiadhibiwa kutoka kwenye reports za CAG...,We miss Magu.
Huyo Ngosha alimwadhibu nani!
Si afadhali ht useme JK ndo aliwahi kuthubutu kuwashitaki na kuwafunga mawaziri wakubwa wawili
 
Mnatapatapa, cha muhimu wajomba wamepewa bandari majizi yanahaha,
Tatizo lako unaona Kila mtu mwizi.Tunaibaje wakati hatuna kazi Wala mizigo tunayopokea kutoka Babdarini? Hivi unadhani DP world wasiposhika au kupata uendeshaji wa Dar Port ile bandari yao kavu iliyopo Rwanda itawalipa? Unadhani Kagame angefurahi jamaa zake wa DP waikose hii tenda? Unayoyaona mbele ni machache mengi yapo nyuma.Tatizo mnageuza mijadala ya taifa letu kuwa Isarel na Palestine😊
 
Wamebadilisha baadhi ya vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30.

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria.

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5.

4.Serikali itachukua 60% ya mapato au faida.

5.Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote.

6.Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata kuwa DP World).

7.Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…