Hata mimi nilishangaa niliposoma haya:
"Marehemu Mtenga ni kati ya wanafunzi 260 wa Tanzania waliokwenda nchini Israel kushiriki mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vitendo chini ya mpango wa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Israel"
What? Wamekwenda kujifunza kilimo huko jangwani? Kweli ukishangaa ya Musa, utastaajabu ya Firauni.