Uwepo wa VITA duniani ni ishara pekee kuwa binadamu ni kiumbe ambaye ana akili ndogo , unatoka kwako kwenda kupigana kwa ajili ya mwanasiasa fulani!

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha.

Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini.

Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania matumbo yao.

Kijana jitfakari sana
 
Hizo ni Biashara za watu wao wanaiba madini
Wanauza silaha
Na kuendesha Magari ya kifahari

This bullshit Nigger.
 
Simba wenyewe wanapigania ufalme huko porini, paka hupigana, mbwa hupigana, siafu hupigana na hata wanadamu kupigana ni jambo la kawaida sababu kuna kuoneana wivu, kuibiana, kusalitiana, kuingilia boma za wengine nk;
Pia kumbuka katika kuweka mambo sawa, hata mbinguni kulitokea vita kali kati ya jeehi la Mungu na jeshi la Lucifer.
 
War is madness.

Vita ni upumbavu.

Uanajeshi na Uaskari ni kazi za kipumbavu kuwahi kutokea ulimwengu.

Yani unapoteza uhai wako kisa wanasiasa wanaoketi ikulu wakila, kunywa na kushiba wakipata mamilioni ya fedha.

Halafu wewe unapiga mazoezi makali, mshahara unapata kiduchu, unaacha familia yako ikiteseka unaenda maporini kumiminiana risasi na wajinga wenzako.

Mnauana na kupata vilema vya maisha.

Ndio maana wanajeshi wengi wakitoka vitani wanapata ile Post-Traumatic Stress Disorder(PTSD) wakikaa chini na kujitafakari wanaona jinsi walivyokuwa wapumbavu.

Uhai wako ni kitu muhimu sana usiweke rehani maisha yako kwa kupambania wanasiasa wawili walioshindwa kukaa chini kutatua bifu zao.
FB_IMG_1738498360456.jpg
 
Fact
 
View attachment 3222462
Vita ni sehemu ya maisha!
Jamii inayofurahi leo ujue huko nyuma walipigana kisha wakajiimarisha ndipo wanafurahia amani na utajiri walioupambania kwa jasho na damu.
Unaweza kuogopa vita ukaletewa vita, hivyo ni bora ujiandae kwa nyakati zote nzuri na mbaya
 
Na vita inaleta heshima kwa mwanadam mnaheshimianaa

Ova
 
Back
Top Bottom