Na Vita Haviwezi Kwisha Kati YetuUjinga huu umeandika
FactWar is madness.
Vita ni upumbavu.
Uanajeshi na Uaskari ni kazi za kipumbavu kuwahi kutokea ulimwengu.
Yani unapoteza uhai wako kisa wanasiasa wanaoketi ikulu wakila, kunywa na kushiba wakipata mamilioni ya fedha.
Halafu wewe unapiga mazoezi makali, mshahara unapata kiduchu, unaacha familia yako ikiteseka unaenda maporini kumiminiana risasi na wajinga wenzako.
Mnauana na kupata vilema vya maisha.
Ndio maana wanajeshi wengi wakitoka vitani wanapata ile Post-Traumatic Stress Disorder(PTSD) wakikaa chini na kujitafakari wanaona jinsi walivyokuwa wapumbavu.
Vita ni sehemu ya maisha!War is madness.

Uhai wako ni kitu muhimu sana usiweke rehani maisha yako kwa kupambania wanasiasa wawili walioshindwa kukaa chini kutatua bifu zao.
View attachment 3222462
Na vita inaleta heshima kwa mwanadam mnaheshimianaaVita ni sehemu ya maisha!
Jamii inayofurahi leo ujue huko nyuma walipigana kisha wakajiimarisha ndipo wanafurahia amani na utajiri walioupambania kwa jasho na damu.
Unaweza kuogopa vita ukaletewa vita, hivyo ni bora ujiandae kwa nyakati zote nzuri na mbaya