Watu wapo buzzzzz kutekana hawajui biashara za mpira duniani
Mechi ya vyura inachezwa tarehe 27 leo kuna mechi moja tu nayo ni Coastal Union vs Azam FC
Hujui nini mimi naangalia hayo mazingira ya uwanja hivi tungefikiria biashara ya mpira huo uwanja ungekuwa hivyo ulivyo,au wewe unaangalia tu ratiba ya mechi halafu unalipa fedha kwenda kuangalia hiyo mechi?hivi mchezaji anapigaje pasi,unakimbiaje hayo maswali Huwa mnajiuliza au ndio ushabiki wa kurithi

Prison leo wameshindwa kufanya mazoei kwa ajili ya uwanjaMbona Tanzania prison hawalalamiki kuhusu uwanja au Yanga mnacheza mechi peke yenu.
HahahahaaMbona Tanzania prison hawalalamiki kuhusu uwanja au Yanga mnacheza mechi peke yenu.
Mechi si kesho,kama tatizo ni hilo tope litakuwa limeshakauka mpaka kesho na mechi itachezwa.
Basi Yanga wajikaze wapige tu mechi hiyo keshoMechi si kesho,kama tatizo ni hilo tope litakuwa limeshakauka mpaka kesho na mechi itachezwa.
Hilo nalo tatizo Prisons hawana uwanja wa mazoezi? Ilibidi Yanga peke yake leo ndiyo ipewe ruksa kufanya mazoezi hapo. Viwanja vinatumika kuliko kawaida, timu za ligi zinatumia viwanja vya mechi Kama viwanja vya mazoezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uneducated kwa hisani ya UchebeMbona Tanzania prison hawalalamiki kuhusu uwanja au Yanga mnacheza mechi peke yenu.
Timu zijenge viwanja vyao,CCM hawawezi kukataa pesa lazima wachukue pesa zote za mpira na mziki.Hilo nalo tatizo Prisons hawana uwanja wa mazoezi? Ilibidi Yanga peke yake leo ndiyo ipewe ruksa kufanya mazoezi hapo. Viwanja vinatumika kuliko kawaida, timu za ligi zinatumia viwanja vya mechi Kama viwanja vya mazoezi.
Sent using Jamii Forums mobile app