Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mtatoboa sasa kwa hao jamaa? Maana wale Mbeya City tu ulimi nje🤣🤣🤣Walaaa 💃💃💃💃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtatoboa sasa kwa hao jamaa? Maana wale Mbeya City tu ulimi nje🤣🤣🤣Walaaa 💃💃💃💃
Uwanja ndio ulikuwa janga hasa baada ya ile mvua kuanza na pia kama nafasi tulitengeneza nyingi tu Ses.Mtatoboa sasa kwa hao jamaa? Maana wale Mbeya City tu ulimi nje🤣🤣🤣
Maana kama vile Mbeya City walichezea uwanja mwingine!!!🤣🤣🤣Uwanja ndio ulikuwa janga hasa baada ya ile mvua kuanza na pia kama nafasi tulitengeneza nyingi tu Ses.
Hivyo nina imani tutapata matokeo Insha Allah.