Uwezekano mechi ya Prison vs Yanga isichezwe leo

Uwezekano mechi ya Prison vs Yanga isichezwe leo

Uwanja ndio ulikuwa janga hasa baada ya ile mvua kuanza na pia kama nafasi tulitengeneza nyingi tu Ses.

Hivyo nina imani tutapata matokeo Insha Allah.
Maana kama vile Mbeya City walichezea uwanja mwingine!!!🤣🤣🤣

Yote kwa yote nawatakia kila la heri leo mpate matokeo mazuri ili hiyo siku ya siku, siku yenye kishindo kikuu, siku asiyotumwa mtoto dukani, siku ya tarehe nne ya mwezi January mje mkiwa mmenona na sio mmenuna ili nyama yenu iwe taaaamu kwa Lunyasi anae haha kwa njaa na hamu ya mnofu wa Jangwani....weka mbali na watoto Shadeeya🤸‍♀️🤸‍♂️🤸‍♀️
 
Back
Top Bottom