Uwezekano mechi ya Prison vs Yanga isichezwe leo

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Ni kutokana na uwanja kuwa na matope pamoja na uchafu uliosababishwa na tamasha la mziki usiku wa kuamkia leo
20191226_100321.jpeg
20191226_100257.jpeg
20191226_100233.jpeg
20191226_100149.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20191226-100108_Instagram.jpeg
    Screenshot_20191226-100108_Instagram.jpeg
    37 KB · Views: 1
  • Screenshot_20191226-100054_Instagram.jpeg
    Screenshot_20191226-100054_Instagram.jpeg
    28.4 KB · Views: 1
Hujui nini mimi naangalia hayo mazingira ya uwanja hivi tungefikiria biashara ya mpira huo uwanja ungekuwa hivyo ulivyo,au wewe unaangalia tu ratiba ya mechi halafu unalipa fedha kwenda kuangalia hiyo mechi?hivi mchezaji anapigaje pasi,unakimbiaje hayo maswali Huwa mnajiuliza au ndio ushabiki wa kurithi
 
We si umesema akili zako ipo kwenye utekaji
Hujui nini mimi naangalia hayo mazingira ya uwanja hivi tungefikiria biashara ya mpira huo uwanja ungekuwa hivyo ulivyo,au wewe unaangalia tu ratiba ya mechi halafu unalipa fedha kwenda kuangalia hiyo mechi?hivi mchezaji anapigaje pasi,unakimbiaje hayo maswali Huwa mnajiuliza au ndio ushabiki wa kurithi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh nchi hii ngumu sana,sasa huo uwanja na mvua za mbeya saizi,litakuwa shamba la mpunga
 
Hilo nalo tatizo Prisons hawana uwanja wa mazoezi? Ilibidi Yanga peke yake leo ndiyo ipewe ruksa kufanya mazoezi hapo. Viwanja vinatumika kuliko kawaida, timu za ligi zinatumia viwanja vya mechi Kama viwanja vya mazoezi.
PriPrison leo wameshindwa kufanya mazoei kwa ajili ya uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashindwa kuelewa mbona shule za msingi karibia kila sehemu zina viwanja inakuwaje timu kubwa haina hata uwanja wa mazoezi
Hilo nalo tatizo Prisons hawana uwanja wa mazoezi? Ilibidi Yanga peke yake leo ndiyo ipewe ruksa kufanya mazoezi hapo. Viwanja vinatumika kuliko kawaida, timu za ligi zinatumia viwanja vya mechi Kama viwanja vya mazoezi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo nalo tatizo Prisons hawana uwanja wa mazoezi? Ilibidi Yanga peke yake leo ndiyo ipewe ruksa kufanya mazoezi hapo. Viwanja vinatumika kuliko kawaida, timu za ligi zinatumia viwanja vya mechi Kama viwanja vya mazoezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu zijenge viwanja vyao,CCM hawawezi kukataa pesa lazima wachukue pesa zote za mpira na mziki.
 
Back
Top Bottom