Maana kama vile Mbeya City walichezea uwanja mwingine!!!π€£π€£π€£
Yote kwa yote nawatakia kila la heri leo mpate matokeo mazuri ili hiyo siku ya siku, siku yenye kishindo kikuu, siku asiyotumwa mtoto dukani, siku ya tarehe nne ya mwezi January mje mkiwa mmenona na sio mmenuna ili nyama yenu iwe taaaamu kwa Lunyasi anae haha kwa njaa na hamu ya mnofu wa Jangwani....weka mbali na watoto Shadeeyaπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ