snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni circulation factors Kwa maana ya bank kuinject more $ on circulation, na fact nyinginezo ambazo ni mbali na kukuwa kiuchumi.
Bei ya $ ingeweza kuwa stable Kwa muda mrefu ikiwa tu ni kwasabu za kiuchumi na sio kucheza na mizunguko. Sasa tuangalie kwanini nasema $ inaweza fika Tsh 2600 kabla ya mwezi huu kuisha.
Tuangalie chart na jinsi market iliclose on Friday.
Kwenye chart hapo hiyo ni daily timeframe kwenye mwezi decemba tulishuhudia imbalance kubwa ya price Kwa maana tofauti kubwa ya wauzaji na wanunuaji, jambo ambalo lilipelekea tuone hiyo FVG (fair value gap) ambayo nimezungushia boksi jekundu.
Sasa Kwa kawaida price Huwa inatakiwa iwe balanced, ndiomana market trend Huwa inamove kujitahidi kubalance sehemu ilizoacha inefficiency na tukiangalia hapo, FVG ilitokea kuanzia level ya 2600/= technical Kuna uwezekano mkubwa wa price kufika 2600+ exchange rate USD/TZS kama Bank haitachukua Hatua.
N:B
Not an investment advice