Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??
Hapo ndipo huwa sikubaliani napo. Tena hapo ndio huwa sipapendi, huwa napinga!
Ni umbumbumbu kumshauri mtoto/kijana kwenda kusoma ili aajiriwe. Tanzania tunahitaji Wajasiriamali. Tunahitaji watu wenye nia na uwezo wa kujiajiri, sio watu wa kukimbilia kuajiriwa. Hivyo Kijana anatakiwa ashauriwe kusoma ili ajiajiri mwenyewe.
Nirudi kunako Mada. Binafsi, kama walivyosema wengine, sijui kama linawezekana kwa Kijana kutoka CSEE kwenda Diploma moja kwa moja kwa Masomo ya Sayansi Jamii (Arts/Social Science/etc). Kwa Masomo ya Sayansi linawezekana na linafanyika. Tunavyoandika hapa, DIT, St. Joseph na MUST tayari wameshatoa Matangazo na wanapokea Maombi ya Kozi za Diploma!
Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??
nenda udom special diploma ukatafune boom mapem mpak wenzko waje wamalze we umeshba tayar... waziii!!!!
nenda udom special diploma ukatafune boom mapem mpak wenzko wake wamalze we umeshba tayar... waziii!!!!
Sasa skia dogo nikuambie kitu, siku hizi kunavyuo vimerahisisha sana. Open University kuna kitu kinaitwa Foundation course hiyo unaingia ukiwa na form.
Unasoma mwaka mmoja tu na ukifaulu una apply degree au diploma kulingana na kozi unayotaka kusoma. Mfano yupo mke wa waziri mkuu ameanza na hiyo foundation na sasa anafanya masters,
wapo viongozi wakubwa serikalini wamepitia hiyo hatua, waziri wa sasa aliyekabidhiwa wizara ngumu ya nishati na madini amaesoma hapo katika mlolongo huo huo na sasa anakula bata
umeeleweka mkuu, but foundation hyo inatolewa katka kla tawi la open university au inakuwaje, nijuze tafadhal