BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,252
Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??
Nijuavyo mm anaweza kusoma certificate mwaka m1, akifaulu vizuri kwa alama A anaweza kwenda chuo kikuu...mdogo wangu anasoma UDSM baada ya kumaliza certificate!