Uwezekano wa kutoka Form Four kwenda Diploma

Uwezekano wa kutoka Form Four kwenda Diploma

Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??

Nijuavyo mm anaweza kusoma certificate mwaka m1, akifaulu vizuri kwa alama A anaweza kwenda chuo kikuu...mdogo wangu anasoma UDSM baada ya kumaliza certificate!
 
Hapo ndipo huwa sikubaliani napo. Tena hapo ndio huwa sipapendi, huwa napinga!

Ni umbumbumbu kumshauri mtoto/kijana kwenda kusoma ili aajiriwe. Tanzania tunahitaji Wajasiriamali. Tunahitaji watu wenye nia na uwezo wa kujiajiri, sio watu wa kukimbilia kuajiriwa. Hivyo Kijana anatakiwa ashauriwe kusoma ili ajiajiri mwenyewe.

Nirudi kunako Mada. Binafsi, kama walivyosema wengine, sijui kama linawezekana kwa Kijana kutoka CSEE kwenda Diploma moja kwa moja kwa Masomo ya Sayansi Jamii (Arts/Social Science/etc). Kwa Masomo ya Sayansi linawezekana na linafanyika. Tunavyoandika hapa, DIT, St. Joseph na MUST tayari wameshatoa Matangazo na wanapokea Maombi ya Kozi za Diploma!

Mfumo wetu wa elimu unamuandaa mtu kuajiriwa na sio kujiajiri...kujiajiri labda utumie akili zako za ziada
 
Wadau wa Elimu salamu,
Napenda kuuliza kama na kijana afaulu form 4 labda division two na staki aende advance school kuna uwezekano wa kuunga diploma bila certificate ??

Ndio unaweza coz hujapata four kaka unalilia diploma we nenda mkuu
 
nenda udom special diploma ukatafune boom mapem mpak wenzko wake wamalze we umeshba tayar... waziii!!!!

Pale huwa wanachaguliwa moja kwa moja kutoka shuleni. Hakuna kuomba maombi ya binafsi. kwahiyo hata kama ana hiyo div two hawezi jiunga pale.
 
Sasa skia dogo nikuambie kitu, siku hizi kunavyuo vimerahisisha sana. Open University kuna kitu kinaitwa Foundation course hiyo unaingia ukiwa na form.

Unasoma mwaka mmoja tu na ukifaulu una apply degree au diploma kulingana na kozi unayotaka kusoma. Mfano yupo mke wa waziri mkuu ameanza na hiyo foundation na sasa anafanya masters,

wapo viongozi wakubwa serikalini wamepitia hiyo hatua, waziri wa sasa aliyekabidhiwa wizara ngumu ya nishati na madini amaesoma hapo katika mlolongo huo huo na sasa anakula bata

Hapana mkuu. pale sifa zao wanataka mtu aliye na angalau na D tano kwenye cheti cha form four. Na kisha awe na certificate yeyote kutoka ktk chuo kinachotambulika.

Hapo utasoma foundation course kwa mwaka mmoja. ambayo kiuhalisia ni kama kusoma form 5 na 6 kwa mwaka mmoja. sababu unasoma masomo ya A level na unachagua kombi kama kawaida mfano hkl hgk pcm na kadhalika.

kisha ukifaulu kwa asilimia 50 unajion degree.
 
umeeleweka mkuu, but foundation hyo inatolewa katka kla tawi la open university au inakuwaje, nijuze tafadhal
 
umeeleweka mkuu, but foundation hyo inatolewa katka kla tawi la open university au inakuwaje, nijuze tafadhal

Yes ni kila tawi. Ila intake inaanza mwezi wa tisa kama sikosei. Na mtihani wao wa mwisho ni June. Ada zao ni chipu sana mkuu. Jipange uanze. Mfano kwa foundation. Form ni sh elf 10 Ada yoote ni makadilio ya kama laki nne.
 
Back
Top Bottom