Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Duh! Wewe ndio umechemka kabisa kumleta Ngoyai kwenye equation. Mtu ambaye yuko 'ICU' anawezaje kweli kugombea Urais?
Labda hujaona clipp yake ya hivi karibuni... Ngoyai keshajichokea. The best for him now ni kujiandaa kiroho kwa safari inayofuata...
Mungu ni MKUU SANA! Laiti angewapa binadamu wenzetu jukumu la nani awe hai, nani awe kuzimu, dunia ingekua tofauti sana na hivyo ilivyo Leo!
 
Nilikua na hizo screenshot dah nimezifuta, jamaa aliandika comment mwaka 2020 "mwakani kutakua na msiba wa Taifa"
Ila yule nae alikuwa zuzu sana. Hivi unajua kabisa umekulia kijijini pembeni kabisa mwa nchi. Watu wamekukaribisha mjini wamekupa chakula,wakakufanyia michongo wakakuweka kwenye kiti, mara ghafla unaanza kuwaambia wanawashwa,wapunguze kiherehere. Mara hujaribiwi, mara wewe ni jiwe, mara uraisi hujapewa na mtu yoyote, Yan ungese juu ya ungese daily. Watu wanarudi wanakaa kikao wanasema huyu mbona anatuzoea hivi...nani anampa kiburi huyu? Wanasema ni fulani, okay.. ngoja tuanze nae anaempa kiburi. Mara paap mtu chini..na yeye sasa amfate. GAME OVER!
 
Aiseeeeee! Wanasemaga ukizaliwa mjini tu tayari ushakuwa sawa na mtoto wa form 6!
 
Exactly.

Nanukuu
Unajua kifo ni Siri ya mwenyezi Mungu. Jana jioni nilikwenda kumuona hospitali, tulizungumza Sana, tulizungumza sana. Alikuwa na maumivu, lakini si yale maumivu ambayo ukitoka kumuona mgonjwa Unawaambia wenzako, nimemuona mgonjwa lakini...

The rest is history.
 
Nafuu ipo!! Tena kubwa mno! Bible inasema bora Mkate na maji penye amani kuliko nyama,maziwa na asali penye vita!

Saivi ni raha mno! Tunajihisi tupo ktk nchi yetu! We are free and Happy!
hiyo inaitwa mshindo,au raha ya bao,huwa haidumu.
furaha mliyo nayo ni ya kifo cha magufuli,sio ukombozi mlioutaka.ukombozi haupo kama unavyotaka kujidanganya hapa.

unaamini una raha,lakini moyo wako unakwambia kabisa hauko climax,kama ulivyotarajia,ndio maana kelele kwa magufuli haziishi muda tu sasa.
 
Maisha yanaenda kasi sana nimesoma mitazamo ya wadau kuanzia mwanzo wengine wamelazimika kubadil misimamo zaid ya mara moja kutokana na matukio ambayo hayakutarajiwa,nani anajua inawezekana kuna wachangiaji walishazikwa yamebaki maandish tu jamvin.
 
Hao wanaojua nchi nje ndani wameifanyia nini
 
mdogo wangu hii michezo waachie wahusika,wanaielewa.

ukiambiwa jamaa aliandaliwa kuwa rais tokea yuko shule utakataa,kipindi ni waziri wa ujenzi alisigana na unayeamini alikuwa boss wake kuhusu uvunjaji wa jengo la tanesco,huyo boss alimwogopa hata kumtamkia neno.badala yake jamaa aliombwa alegeze msimamo.

wachana na story za sijui nani kamweka mwenzake mjini,hazina ukweli wowote.
 
Hamna kitu..kila mtu anajua CCM baada ya a Lowassa kwenda upinzani ilikuwa maji ya shingo.. ilibidi wamchukue Magu kwasababu ilikuwa haina jinsi. Hamna anaweza mchagua chizi kama lile
 
Vipi kuhusu Lowasa kabla na baada ya kwenda Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…