Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

CHADEMA haiwezi kuja kuongoza hii nchi hata iweje.Bora iendelee na shughuli zingine sio kusubiri embe chini ya mnazi
Oooook ... ni kweli sawa kabisa afisa mipango wa mbinguni kwa muumba nimekuelewa na umeleeweka vema ntakupinga vipi na wewe na Mungu mnakaa meza moja kuyapanga ya duniani

Lakini unakumbuka mlipanga kumpa uraisi wa milele, na kisha mkamteua atakae mrithi baada yake. Ghafla kufumba na kufumbua leo hii tunaongozwa na Raisi mwanamke hakuna alie tarajia hilo.

Wakati huohuo mliempangia kuongoza milele kwa sasa yumo kwenye shimo la JEHANAMU anaungulia madhambi yake ya udhalimu na yule mrithi wake mliempanga na kumteua kwasasa anaishi kama digidigi

Bado tu hamjajifunza !!!???
 
Akikujibu nitag mkuu
 
Huu ni msumali wa Moto mnoooo umemaliza kila kitu [emoji1666][emoji1666]
 
Aisee Kuna watu hata Kama Ni chuki hii imezidi.Death is the only way for all of us tumuache uyu mzee apumzike kwa amani
Hizi kenge zingine humu zinakera sana aliyekuambia kila anaekufa anapumzika kwa amani ninani??
 
Inajulikana kabisa duniani na mbinguni Rais Magufuli ataendelea kuongoza kwa kipindi kingine cha miaka 5. Hawa wanaosema ataongoza kwa kipindi kimoja tu ni wehu.
Mungu fundi
 
Meza imepinduliwa
 
Makosa yote yatafanyika lakini sio la kuwapa chadema nchi.never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…