Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

 

Sijasoma post yako ni ndefu sana lakini uko sahihi kabisa, kwa sababu uwezo wa Magufuli kuongoza Nchi ni kuanzia vipindi vitatu na kuendelea. Tukimwacha akaongoza vipindi viwili tu tutakuwa tumemu-underutilize kwa kiwango cha juu sana. Magufuli anayo pumzi ya kuongoza Nchi kitaalamu hadi mpaka baada ya 2030.
 
Ukweli mtupu na mchungu sana kwa Lumumba ,hawaamini lakini ndivyo ilivyo ni suala la muda tu ,tumuage Jiwe na wapambe wake sijui wataenda wapi ? Sijui wataishije kwa jinsi walivyotukana na kudhalilisha watu .
 
Na Anderson Ndambo.

3. Magufuli sio tu, hana ushawishi mkubwa kwenye vyombo vya usalama kuliko mahasimu wake, Bali hata ndani ya ccm na hata kwenye nchi (Taifa) maana watu wamemchoka kabisa, kweli Raia tumemchoka kabisa.

IUkiachilia mbali hoja yako hafifu ya ushawishi, naomba sana usisahau kuwa Magufuli ndiye anayeshikilia dola, na ndiye atakuwa anashikilia dola mpaka wakati huo. Sasa niambie nani mwenye nguvu zaidi kati ya ANAYESHIKILIA DOLA na MWENYE USHAWISHI WA DOLA. Kumbuka pia kule kwa wenzetu wenye ushawishi dunia nzima, aliyetakiwa kuwa Rais siyo yule ambaye ni Rais muda huu. Unajua ni kwa nini? Do not do under-estimate the powers of the President of URT. Rais ni Rais!
 
Wananchi kwa 100% wanamtaka Dkt Magufuli atawale mpaka 2040. Tena kwa taarifa mleta mada, wananchi wako tayari kuingia mtaani kumtetea Dkt Magufuli ili aendelee kuwa rais, hao mafisadi na walafi wa madaraka waliokabidhi nchi kwenye mikono ya wezi na familia zao hawana nafasi!
 
Kwa kauli aliyoitoa Mwinyi, hakuna wa kumuondoa Magufuli CCM bado.
 
Nadhani ujamuona lowassa muda mrefu mnk usingekuja kuandika ushuzi wako hapa.....
 
Ndoto za mchana wa jua kali.

Zilipendwa stories

JPM ni Rais mpaka 2025 kipindi chake kikiisha na baada ya hapo TUNAMUONGEZEA 10 YEARS.
 
Wanaojua mzizi wa haya yanayoendelea ni wachache sana.

Hamjiulizi kwanini jiwe mpaka sasa kigugumizi? Hujuma anazofanyiwa ni reaction ya kitendo cha jiwe kujipeleka kwenye kambi ya Lowassa.

Yeye hana kundi mpaka ajipeleke kumdi la Lowassa?
 
Kuna wakati natamani nifowadi hadi 2020 nichungulie kulikoni halafu turudi 2019.
Nataka nijue hivi kweli ndani ya ccm hakuna mkubwa kuliko chama kweli?
 
Edward Lowassa agombee urais? Umeharibu hekaya yako
 
Sidhani kama ishu ya nani wa kuongoza hii nchi ni kipaumbele sana, kuu zaidi ni CCM kuendelea kutawala kwasababu wengi wao hawawezi survive nje ya chama na serikali.

Kwa hiyo maslahi binafsi ndio yanayowaongoza na ikifika uchaguzi akili yao inakuwa moja, yanatokea hapa ni mbwembwe tu.
 
Hizii ni ndoto za mchana
 
Atawekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Polisi na "wajomba"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…