Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

kwani kuna nafuu yoyote mnapata!!!
magufuli amefariki,ccm bado ipo madarakani.
CCM ikae madarakani hata miaka 190 ila sio kuongozwa na lile lipumbavu tena, nadhani hata CCM kuna kitu wamejifunza kuhusu watu ws kupewa urais
Lilitaka kutuharibia nchi kwa Ukabila, sera mbovu za uchumi na propaganda za miaka ya 70, yaani nchi ilipatikana ila mungu akaiokoa
 
CCM ikae madarakani hata miaka 190 ila sio kuongozwa na lile lipumbavu tena, nadhani hata CCM kuna kitu wamejifunza kuhusu watu ws kupewa urais
nadhani amekuacha mgonjwa wa akili.mtu ameshakufa ataongozaje tena!!!

hata jk mbali na kwamba hajafa ila hawezi kuongoza tena.
 
nadhani amekuacha mgonjwa wa akili.mtu ameshakufa ataongozaje tena!!!

hata jk mbali na kwamba hajafa ila hawezi kuongoza tena.
Pointi yangu ni kuongozwa na CCM sio tatizo, tatizi ni kuongozwa na mpumbavu kama Magufuli
 
hii ni siasa, ila imeonyesha imekuuma hadi unaingiza mambo ya wazazi
Au mimi kutukana mzazi wako nashindwa?
we shoga kweli,kisa cha kuanza kumtukana magufuli ukijua ni siasa uliwashwa kiungo gani,nimembakiza mama yako,endelea kujiuza hapa utapata bwana sasa hivi.
 
" Chakuzingatia tu, wakati huo (2020) kuna uwezekano baadhi ya watu hatutakuwa nao, kimwili au kisiasa, akiwemo Magufuli mwenyewe. Hapa ndipo namuona Lowassa akiibuka tena."

Sitashangaa ukitumiwa vijana uwaeleze ni vipi Magufuli hatokuwepo kimwili ama kisiasa come 2020

Kwa hiyo kuna ambao hawatakuwepo ila Lowasa yeye atakuwepo ? Huu uhakika umeutoa wapi ?

Wacha niweke akiba ya maneno tutaonana Nov 2020 kama na mimi nitabahatika kuwa hai.
Jiwe "ovestayed" kwa miezi 5 huu utabiri.
 
Mtaandika utumbo weeeeeeee, kisha mtaanza kuutoa huooo utumbo weeeeee, mkichoka kalaleni.
WATANZANIA TUMESHASEMA NA KUAMUA JPM NI MPAKA 2035.
Na mnavyokomalia hakai term ya pili ndio mnatupa mzuka na sisi wa TZ tukomaë nae mpaka term ya nne.
JPM mpaka 2222 kuongoza "mashetwani" huko jehanamu.
 
we shoga kweli,kisa cha kuanza kumtukana magufuli ukijua ni siasa uliwashwa kiungo gani,nimembakiza mama yako,endelea kujiuza hapa utapata bwana sasa hivi.
Magufuli alikuwa mpumbavu, hilo sio tusi, ni fact. Kama vipi nenda karipoti kwa yale majambazi yake yaende JF kutafuta utambulisho wangu
 
Kuna post humu ndani kabla ya 2021 zinafaa kuwekwa kabisa kwenye historia ya nchi na zikawekwa kwenye mitaala ya elimu. Kuna watu walikua wanajua nn kinaendelea.

Sisi huku nje tulkua tunambiwa "mniombee" hata hatuelewi.
 
Makosa yote yatafanyika lakini sio la kuwapa chadema nchi.never
Sawa mkuu kawaida ya MUUMBA hufundisha kupitia matukio kwa sababu haiwezekani afundishe kwa chaki na ubao darasani

Na siku zote somo la kwanza lisipoeleweka kwa kawaida ya kuburi cha mwanadamu MUNGU huleta somo la pili ambalo huwa la ghadhabu kuliko somo la kwanza

Kwa kuwa mi binadamu mwenzio sina zaidi ya kukuombea salama na amani juu ya kiburi chako na malengo yako kana kwamba wewe ni katibu wa MUNGU

CCM HONGERENI SANA KWA KUWA WATAWALA WA TANZANIA MILELE
 
Back
Top Bottom