Hamtaki basi BINGWA atakuwa LipuliMmeshaanza? Yani nyie mi jamaa kwa mikelele
Kwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.
Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule kwao magoli mawili ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yao.Ajabu kilichotokea ni historia.
Kwa muktadha huo nawapa asilimia nyingi Man Utd ya kuwa washindi wa kombe lile.
Mmeshaanza? Yani nyie mi jamaa kwa mikelele
Hii timu mtaani kwetu hushabikiwa zaidi na ma - house girl. Yaani ni kelele zisizo na mwafaka...ile penalty si kila refa angetoa.Una uhakika gani kama atabeba? Ukiangalia ball possession kazidiwa sana, sema ni bahati tu.
hatuta lala, wengekuwa na ubora we juventus sijui ingekuwajeNa ndio hawajafika nusu fainali, sijui itakuaje iyo cku😁😁
Sio bahati. Ni part ya game plan. It is all about being clinical and grinding out results.Una uhakika gani kama atabeba? Ukiangalia ball possession kazidiwa sana, sema ni bahati tu.
Bahati ipo kwenye kamari weweUna uhakika gani kama atabeba? Ukiangalia ball possession kazidiwa sana, sema ni bahati tu.
Hivi sheria ya bao la ugenini siku hizi halitumiki ?!. Agr nikijuwa ni 3_3 ?!Timu ya mpira wa miguu Man Utd imefanikiwa king kuingia nane bora katika mashindano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa kuifunga PSG magoli 3 kwa 1.
Naunga mkono hoja [emoji16]Kwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.
Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule kwao magoli mawili ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yao.Ajabu kilichotokea ni historia.
Kwa muktadha huo nawapa asilimia nyingi Man Utd ya kuwa washindi wa kombe lile.