Uwezekano wa Man Utd kuwa bingwa wa UEFA ni 98%.

Kwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.

Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule kwao magoli mawili ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yao.Ajabu kilichotokea ni historia.

Kwa muktadha huo nawapa asilimia nyingi Man Utd ya kuwa washindi wa kombe lile.
Ipo wazi kbs.. Mufc ni BINGWA hata EPL wakijikoroga tunabeba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.

Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule kwao magoli mawili ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yao.Ajabu kilichotokea ni historia.

Kwa muktadha huo nawapa asilimia nyingi Man Utd ya kuwa washindi wa kombe lile.
Alichoropoka barca kwa huyo PSG na bado barca hakuna bingwa sembuse huyo man u wa sasa! Halafu nikwambie kitu huyo PSG hana lolote kwenye UCL maisha yake yote ni msindikizaji tu
 
Back
Top Bottom