Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi upoHizi kelele pori tulizitarajia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi upoHizi kelele pori tulizitarajia..
Maskini akipata, msambwanda hulia mbwata. Yaani kuchurupuka kwa PSG ndio ukawe bingwa?Maneno ya mkosaji!
Nipo mchuchu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi upo
Akikujibu mkuu niite.
Hahhahhaha lini umeanza kunitafutia mahelaNipo mchuchu..
Nimekutafutia mahela ubini wako.. Nakupataje sasa, mambo yasiwe mengi
Basi mtaani kwenu mahousegirl wote na mama wenye nyumba. Haiwezekani ma House girl wakapiga kelele mtaani mama mwenye nyumba akakaa kimya!Hii timu mtaani kwetu hushabikiwa zaidi na ma - house girl. Yaani ni kelele zisizo na mwafaka...ile penalty si kila refa angetoa.
Baada ya 3 kwa 1 ongezea maneno "Nyumbani kwake"Timu ya mpira wa miguu Man Utd imefanikiwa king kuingia nane bora katika mashindano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa kuifunga PSG magoli 3 kwa 1.
Kwa hiyo ulitaka wapige penati?Hivi sheria ya bao la ugenini siku hizi halitumiki ?!. Agr nikijuwa ni 3_3 ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
nilipo gundua mahela ndo lugha yako.. tabia gani hii unanidundisha mbele ya kadamnasi namna hiiiHahhahhaha lini umeanza kunitafutia mahela
Sorry ni 1999,2008,2019 KWA IMANIUna akili na kipaji cha hali ya juu mno mwana dada!
Bado mkuu.
Ipo wazi kbs.. Mufc ni BINGWA hata EPL wakijikoroga tunabebaKwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.
Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule kwao magoli mawili ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yao.Ajabu kilichotokea ni historia.
Kwa muktadha huo nawapa asilimia nyingi Man Utd ya kuwa washindi wa kombe lile.
Inatumika sana tu. PSG alifunga mawili ugenini. Man utd kafunga matatu. Fanya hesabu hapo 2 vs 3.Hivi sheria ya bao la ugenini siku hizi halitumiki ?!.
Alichoropoka barca kwa huyo PSG na bado barca hakuna bingwa sembuse huyo man u wa sasa! Halafu nikwambie kitu huyo PSG hana lolote kwenye UCL maisha yake yote ni msindikizaji tuKwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.
Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule kwao magoli mawili ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yao.Ajabu kilichotokea ni historia.
Kwa muktadha huo nawapa asilimia nyingi Man Utd ya kuwa washindi wa kombe lile.