alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,197
Kwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.
Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule kwao magoli mawili ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yao.Ajabu kilichotokea ni historia.
Kwa muktadha huo nawapa asilimia nyingi Man Utd ya kuwa washindi wa kombe lile.