Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mashabiki wa United kelele kibao, mngekuwa na Timu kama city sijui ingekuwaje,hamna Timu ya kubeba UEFA champions league
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umewaambiaManure hawatakaa hata siku moja washinde UCL wala EPL as long as Klopp & Pep wanaendelea kuwepo Liverpool & ManCity respectively.
ndiyo ukweli japo unauma!
Wapenzi wa Simba karibu wote ni Manchester, usishangaeMmeshaanza? Yani nyie mi jamaa kwa mikelele
Kcmc hakunaga timu. Ila man u wana kelele sana. Ngoja tuone atafika wapi. Ku a liver, city, barca, bayani, na wengine wengi tu.Utd si sawa na timu kama Lipuli,Ndanda,Arsenal na Kcmc.
Kwa hapa Bongo 79% ya dada wa kazi na bar maids ni Man U na 5imba