Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

uingereza na ujerumani zilifanikiwa pakubwa sana kuongozwa na mwanamke πŸ’

skiza gentleman,
ikiwa yule kijana wa Zanzibar atakuja kua sasa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, bas ni hakika huyo mwanamke atakua Makamu wa Rais πŸ’

ikiwa yule wa Zanzibar nae akatundika daruga baada ya ngwe zake mbili kwishi, na hapendelei kua Rais wa JMT basi mwanamke huyo wa shoka mwenye sifa na vigezo vya kikatiba na kisheria kitaifa na kimataifa, atashika hatamu bila wasi wasi wowote πŸ’
 
ushirikiano wao huwa ni wa dhati sana, lakini pia wakiamua kufitiniana wao kwa wao ni balaa zaidi πŸ’

but kwa nionavyo mim uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania baada ya Dr Samia Suluhu Hassan ni mkubwa mno, kuliko mwanaume πŸ’
Kwa jinsi unavyomtetea huyu mwanamke mwenzio naamini hata wewe ukipewa urais baada yake utafanya vizuri zaidi. Maana kwa mjibu wako ni kama wanawake mnaweza sana.
 
Kwa jinsi unavyomtetea huyu mwanamke mwenzio naamini hata wewe ukipewa urais baada yake utafanya vizuri zaidi. Maana kwa mjibu wako ni kama wanawake mnaweza sana.
sina haja kumtetea mtu mke au mtu mume kwasabb ya kuchochewa na mihemko na ghadhabu za anaejiskia vibaya bila hata kua na fikra mbadala πŸ’

ukweli na uwazi ndio pekee silaha inayonipa ujasiri wa kuyasema haya kinagaubaga kulingana na elimu, sifa, uzoefu na vigezo alivyo navyo muhusika πŸ’

by the way mimi ni kiongozi mnyonge mchapakazi hodari wa wananchi, nisiestahili chochote ila matusi nayapokea, dhihaka nazipokea, dharau nazipokea na kila aina ya majina mabaya nayapokea...

hata hivyo,
sitetereki wala kunyong'onyea kuweka bayana maoni na mtazamo wangu kwamba, uko uwezekano mkubwa mno kwa mwanamke kuendelea kuiongoza Tanzania hata baada ya Dr.Samia Suluhu Hassan kumaliza ngwe zake mbili za uongozi wa nchi πŸ’

huwezi pata sehemu nyingine uchambuzi huu wa kisayansi kwenye siasa za Tanzania πŸ’
 
kuna ubaya ama haupo uwezekano πŸ’
Mwanamke hormone za estrojeni na testosteroni zinamfanya awe na sauti laini na misuli dhaifu . Mwanamke hafai kuwa kiongozi mbele ya mwanaume.
 
Mwanamke hormone za estrojeni na testosteroni zinamfanya awe na sauti laini na misuli dhaifu . Mwanamke hafai kuwa kiongozi mbele ya mwanaume.
hatakua kiongozi wa mwanaume, huo ni mtazamo wako binafsi...

ana paswa kua kiongozi wa wanainchi na waTanzania wote πŸ’
 
hatakua kiongozi wa mwanaume, huo ni mtazamo wako binafsi...

ana paswa kua kiongozi wa wanainchi na waTanzania wote πŸ’

Kiongozi wa wananchi wote wa Tanzania anatakiwa awe na sauti nzito na misuli imara ndo nchi itasonga mbele na kupata maendeleo . Hizi sifa anazo mwanaume tu .

Angalia mfano mwanamke aliyepo sa hivi , anawaogopa mafisadi na wale wanaoiba kodi za wananchi . Anashindwa hata kuwachukulia hatua sababu ana misuli dhaifu.

Lakini shababi likikoroma ; mchwa wote wanaotafuna fedha za wananchi bila kuzitolea jasho wanaacha mara moja . Mwanaume atabaki kuwa mwanaume .
 
Yaani Mwanaume mzima wa Kiafrika unashabikia kuwa submissive kwa Wanawake!!
Uyo Samia na Tulia tayari washa-prove failures!!
 
hiyo ilikua mambo ya kale karne ya 16,

saivi ni dhamira njema tu, mipango mikakati bora na usimamiaji madhubuti wa rasilimali watu na asili zilizopo nchini πŸ’

uongozi ni kubeba matarajio, matamanio na ndoto za wananchi tu...

hayo sijui mamisuli na sauti nzito si ukachunge ng'ombe huko porini ndio uwe unawatishia na kuwakemea kwa sauti nzito wasiingie kwenye mashamba ya watu πŸ’
 
Yaani Mwanaume mzima wa Kiafrika unashabikia kuwa submissive kwa Wanawake!!
Uyo Samia na Tulia tayari washa-prove failures!!
umerespond kinyoongeeee halafu kwa hofu sana gentleman, dah πŸ’

relax bana ni mtazamo tu masela msijenge chuki 🀣
 
Hizi bangi mnazovuta UVCCM ni mbaya sana
 
Naendelea kula kwa urefu wa kamba yangu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…