Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu
1. Magufuli mwenyewe
2. Bashiru Ally Kakuru
3. Pole pole.
Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri
Siasa siasa siasa kumanyokooooooo