Uwezi niamini, lakini NAKWAMBIA ukweli vikao vingi vya Pole pole na Magufuli ikulu,Bashiru Ally kakuru alikuwepo. Ile Leo jamani.

Uwezi niamini, lakini NAKWAMBIA ukweli vikao vingi vya Pole pole na Magufuli ikulu,Bashiru Ally kakuru alikuwepo. Ile Leo jamani.

Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu
1. Magufuli mwenyewe
2. Bashiru Ally Kakuru
3. Pole pole.

Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri
Siasa siasa siasa kumanyokooooooo
Wamemhonga uwaziri ila najua anapiga timing. Mwanamapinduzi ndani ya ccm hawezi hana jambo la kimapinduzi anafanya au kupanga kufanya.
 
Back
Top Bottom