Power is powerNasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu
1. Magufuli mwenyewe
2. Bashiru Ally Kakuru
3. Pole pole.
Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri
Siasa siasa siasa kumanyokooooooo
Luka 9:60 ... “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu
1. Magufuli mwenyewe
2. Bashiru Ally Kakuru
3. Pole pole.
Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri
Siasa siasa siasa kumanyokooooooo
Na hiki ndio kitu wanasiasa wengi wa kiafrika wanashindwa,ni muhimu kusimamia unachokiamini ili uache legacy nzuri.Bashiru ni Mfano wa mtu mnafiki kabisa, Wakati Mama anapewa nchi alikuwa KMK ila ilibidi aondolewe haraka sana,
Sasa kulinda heshima yake angekataa hizi teuzi kabisa na Kurudi kijijini Kupumzika zake akisubiri hii Regime ipite
Bashiru was asset Kwa kweli ila Kwa sasa amekuwa trash tu
Tugange yajayo.Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu
1. Magufuli mwenyewe
2. Bashiru Ally Kakuru
3. Pole pole.
Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri
Siasa siasa siasa kumanyokooooooo
Sasa wewe unataka awapambanie watanganyika mazuzu aache kula maisha na familia yake !!Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu
1. Magufuli mwenyewe
2. Bashiru Ally Kakuru
3. Pole pole.
Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri
Siasa siasa siasa kumanyokooooooo
Kuna ukweli Fulani hapa ila hata Nyerere aliwapambania hivyo hivyo ingawa alijua mazuzu ni wengiSasa wewe unataka awapambanie watanganyika mazuzu aache kula maisha na familia yake !!
Wabunge, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya waliotoka upinzani na kwenda kula meza moja na mtesi unadhani mafala .!!!
Watanganyika ndio watu mafala namba moja hao akina Easther bulaya wameona Bora waangalie maisha yao kuliko kumpambania Mtanganyika. The same applies to Kakurwa.
siri ya mtungiBado mnaamini pole pole yupo hai🤔🤔🤔.
Kama pole pole yupo hai basi hata Ben saa 8,mdude wote wapo hai
Mbona hesabu nyepesi sana hyo.siri ya mtungi
Kumuua polepole ni zaidi ya mistake! Hawawezi kufanya kosa Hilo.Mbona hesabu nyepesi sana hyo.
Haiitaji calculator.
Wema huo hawanaa.
Na hawawezi kufanya kosa kama hilo.
Ukweli mchungu🥹Sasa wewe unataka awapambanie watanganyika mazuzu aache kula maisha na familia yake !!