Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Kwa hio wewe unahisi ukiekewa kibati Cha 300kph Basi we utaelewa ndo maximum speed gari hio inaweza fika?
Tuna Safari ndefu Sana
Nkujuze pia
Gari nyingi zenye top speed ya 320-360 Zina kibati Cha 400kph..na hizo gari huwa Zina hp Kati ya 600 Hadi 800hp
Hata me gari yangu nikitengeneza nikapima kwenye runaway nenda rudi nikapata average ya round mbili Ni maximum 220kph kibati kitakuwa Cha kwanzia 240
Hio Ni kawaida manufacture wengi wanafanya hvyo ..pia tambua speedo reading haimaanishi ndo speed unaweza fika ya mwsho gari inaweza kuwa inaweza zidi hapo mfano Audi hizo hizo inayotumia engine ya petrol v8 339hp hio inazidi kabisa 260kph ila ipo electronically limited to 255kph na inaweza kuwa na kibati Cha 260 ama 280kph
Hakuna sehemu wameandika kuwa kibati Cha gari ndo maximum speed
Hakuna mahali nimesema kuna maximum speed exactly mkuu(speed ya mwisho haipimwi kama kilo ya nyama)
Hoja hapa ni kwamba watu wanesema mambo mawili
Mosi, manufacturers “wanadanganya”
Pili, wanabandika hivyo vibati kukwepa gharama ya kutengeneza vibati tofauti kwa gari aina moja ila zinatofauti engine
Mimi nikasema hakuna lugha kama wanadanganya kubandika vibati kwenye speedometer kuna factors wanatumia kuweka hivyo
Na hakuna uzembe wa ku order the same kibati kukwepa gharama
Zaidi ya 90% ya magari huwezi kufuta hiko kibati kwa speed barabarani