Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 676
- 2,024
Ina cc ngap? Ina hp ngapi
Nikujuze tu hako ka golf hakawezi fika 300kph watu wako kazini wanacheza na akili zenu
Ni wazi ukikuta kinglion piki piki yenye cc 150 Ina kibao Cha speed 200 na sinoray cc 150 kibao Cha speed 140 unaweza amini kinglion inakimbia zaidi na upo tayari ku pay more ukiamin pikipiki yenye hp10 inaweza fika 200kph Hulu XL250 yenye hp 25 ilishindwa fika in real life
Achana na readings za speedo meter binafsi naangalia gari lilivo na hp zake eg gari Kama crown, golf, na zinginezo likiwa na hp300 Ni nyingi Sana kibongo unaweza gawa dozi utakavo
Kuhusu speedo kusoma namba nyingi Ni swala la marketing tu
Ngoja nikupe mfano
Unakuta Audi wametengeneza A4 yenye body type nyingi kwanzia sedan mpaka station wagon I think
Pia gari moja linakuja na engine option nyingi kwanzia ndogo kabisa yenye 1.9L diesel Hadi 3L plus where hp inaanzia 80hp Hadi 256hp bila kukosea Sasa huwa some company wanatengeneza speedo meter wenyewe wengine wanatoa oda kwa makampuni mengine, gari lenye 256hp linakuja labda na speedo inayosoma Hadi 260kph na speedmeter hio hio inatumika kwenye gari lingne model moja engine ndogo 80hp ,, hivo watu wanashindwa elewa huwezi tengenezea kila gari speedometer Yake hapo ndo unakuta hata mtu hio engine ndogo anajipa moyo kwamba anaweza fika hio speed unaangalia specs za engine yake unabaki unacheka
Hii comment inafikirisha sana kiukweli
Kabla sijabisha ngoja nifanye research zangu vizuri
Kweli mnyama GTI kile kisahani cha 300 ni pambo?
Anyway we never stop learning
Ngoja ntarudi nkishaongeza maarifa!![emoji850]