Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

130hp then ufike 260Kph..!!!?
Sio rahisi aisee.. Actually Haiwezekani..
Kumbuka IST ina 150hp..

Dashboards zinabandikwa tuu..
518i
520i
525i
530i
535i
540i
Zote dashboard inasoma 260kph..ila hazina uwezo sawa..!
Unachokiongea ni kweli kabisa
Ukiona gari ya hp hizo ndogo inafika speed hiyo basi ujue hiyo gari iko tuned
 
Audi A4 1.9tdi hiyo....

240kph inafika mshale haujafika hata kwenye redline.
Hiyo gari iko tuned
373512848.jpg
 
Hii gari ipo tuned stock sina uhakika kama inaweza kufika hapo
Kwenye heading wameandika 131ps kwenye description ndio wameadd hiyo 170ps.

So far 1.9tdi zinazofika 240kph bila mshale kufika kwenye redline zipo nyingi.

Ukiangalia rpm wakati mtu anaendesha unaweza kunotice kama gari iko tuned au haiko tuned?
 
Yeah maana yake wameitune from 131ps to 170ps
Kwa nilivyoelewa
 
Kwenye heading wameandika 131ps kwenye description ndio wameadd hiyo 170ps.

So far 1.9tdi zinazofika 240kph bila mshale kufika kwenye redline zipo nyingi.

Ukiangalia rpm wakati mtu anaendesha unaweza kunotice kama gari iko tuned au haiko tuned?
Unaweza kunotice
 
Audi A4 1.9tdi hiyo....

240kph inafika mshale haujafika hata kwenye redline.

Na haiwezi fika redline kwa gia hio labda avue gia moja

Kifupi hapo ndo imejitahdi Hadi mwsho ..hata passo ukipiga hesabu ya rpm yake utagundua ukinyanyua kawe juu matairi yanaweza zunguka kwa speed ya km 200+ bila limiter ila ukikaweka chini nadhani kila mtu anajua speed yake

inshort hio gari haiwezi fika 260kph hapo ndo imekomea
 
So far 1.9tdi zinazofika 240kph bila mshale kufika kwenye redline zipo nyingi.

Ukiangalia rpm wakati mtu anaendesha unaweza kunotice kama gari iko tuned au haiko tuned?
Gari hazipo designed kufika top speed huku ikiwa redline lazima iwe na gia ambayo itashusha rpm kuwa chini ,,

Range Rover gia nane diesel 4.4L inaweza fika top speed na gia ya sita rpm ikiwa juu Sana giant mbili za mwsho Ni for cruising maintaining the same speed with few revolution per minute , ambayo inaweza kukaa 240kph na 2400rpm last gear

Hata kipindi naendesha baskeli nilikuwa naweza fika 50kph na gia ya sita ila haimaanishi nikiweka Saba ninaweza zidi 50kph kwenye straight line , 7th gear ilikuwa for cruising nakuwa speed ile ile ila mizunguko ya miguu yangu imepungua

Toa RPM hapo ipo tu kukuonesha engine yako inazunguka mizunguko mingap kwa muda huo , boxer bm hazina rpm meter (tachometer) ila zinakimbia kuliko most bikes ya category zake
 
redline au?
Huwezi jua kwa kuangalia rpm

Gia ziko fixed

Kama Kama original lilikuwa no 3 rpm ikiwa 3000 speed inakuwa labda 70kph Basi hata uongeze hp Mara mbili yake itabaki kuwa pale pale ukiwa speed 70 gia no 3 rpm itakuwa 3000 ,sababu gia Ni zile zile kilichoongezeka Ni nguvu itaweza perfom vizuri zaidi Kama ilikuwa inajivuta Basi itakuwa fasta
 
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.

Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.

Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.

Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.

Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze

View attachment 2521539
Mkuu hapana unatulisha matango pori

Inaonekana umepata ka idea kuhusi RPM ambako ulikuwa hukaelewi vizur kakakupa overexitement ukakafungulia thread. Ila hapo content yako sio sahihi
 
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.

Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.

Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.

Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.

Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze

View attachment 2521539
RPM kwenye gari inataja mizunguko ya fito kombo (crank shaft) ndani ya injini kwa dakika moja. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kasi maana inategema gia. Ukiwa gia ya kwanza unaweza kuzungusha injini yako kwa RPM 5000 na bado unatembea labda kwa 30 km/h, ila ukiweka gia ya nne au ya tano kasi yako itakuwa zaidi ya 100 km/h ukienda kwa RPM 5000.
Kila injini huwa na upeo wake wa RPM, injini ndogo mara nyingi zimepangwa kwenda hadi 6-7000 RPM lakini injini kubwa (kama siyo racing car) huzunguka hadi 4000 / 5000 RPM. Kwa kawaida injini hudumu muda mrefu isipoendeshwa kwa RPM za juu, Kwa hiyo magari ya kawaida, RPM 2000 - 3000 ni vema. Pia matumizi ya mafuta ni juu ukitumia RPM za juu mara kwa mara.

fito kombo
 
Kuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.
E.G. Ist atembee 80km/r then Altezza atembee speed 80km/r na wote waanze pamoja eneo moja. Unafkir nani atakae mpita mwenzie[emoji1][emoji2][emoji3]
Daaaah aisee hii thread imejaa watu waongo tuu😂😂
 
Back
Top Bottom