Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

Mfano bus la yutong au Volvo/Scania makopolo ukiliendesha speed 100 haliwezi kuendana na speed sawa na ist na hata magari mengine😁😁 utapitwa kama umesimama

Wajuvi wenye uzoefu wa magari watakuja kutuelimisha, mimi sio mjuvi mzee baba
Hukusomaga kabisa
 
View attachment 2544780
Hiyo ni gti tu inasoma 300 engine cc ndogo lakini mwendo wa kufa mtu
Ina cc ngap? Ina hp ngapi

Nikujuze tu hako ka golf hakawezi fika 300kph watu wako kazini wanacheza na akili zenu

Ni wazi ukikuta kinglion piki piki yenye cc 150 Ina kibao Cha speed 200 na sinoray cc 150 kibao Cha speed 140 unaweza amini kinglion inakimbia zaidi na upo tayari ku pay more ukiamin pikipiki yenye hp10 inaweza fika 200kph Hulu XL250 yenye hp 25 ilishindwa fika in real life

Achana na readings za speedo meter binafsi naangalia gari lilivo na hp zake eg gari Kama crown, golf, na zinginezo likiwa na hp300 Ni nyingi Sana kibongo unaweza gawa dozi utakavo

Kuhusu speedo kusoma namba nyingi Ni swala la marketing tu

Ngoja nikupe mfano

Unakuta Audi wametengeneza A4 yenye body type nyingi kwanzia sedan mpaka station wagon I think

Pia gari moja linakuja na engine option nyingi kwanzia ndogo kabisa yenye 1.9L diesel Hadi 3L plus where hp inaanzia 80hp Hadi 256hp bila kukosea Sasa huwa some company wanatengeneza speedo meter wenyewe wengine wanatoa oda kwa makampuni mengine, gari lenye 256hp linakuja labda na speedo inayosoma Hadi 260kph na speedmeter hio hio inatumika kwenye gari lingne model moja engine ndogo 80hp ,, hivo watu wanashindwa elewa huwezi tengenezea kila gari speedometer Yake hapo ndo unakuta hata mtu hio engine ndogo anajipa moyo kwamba anaweza fika hio speed unaangalia specs za engine yake unabaki unacheka
 
Ni Toyota..
Reliable..
Kaa mbali na 1ZZ engine..
Tafuta 2ZZ engine.. Hii ni combination ya Toyota na Yahama.. Combination yao huwa inatoa engines zenye mlio tamu kwenye masikio..
Ukumbuke kuiendesha umeshusha vioo..
Duuh kivipi nikae mbali na 1zz
Kuna tofauti gani kati ya Engine ya 1zz na 2zz? Ahsante
 
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.

Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.

Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.

Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.

Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze

View attachment 2521539
RPM isikuvuruge mkuu.

Smaller engine zina bigger rpm. Ndio maana bikes zinafika rpm mpaka 14000rpm. Na ni za moto barabarani.

Pia engine za diesel zina small rpms.

BMW M550d ina max RPM ya 6000 tu. Lakini kuna watu wengi hawawezi kuufata huo mziki.
 
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.

Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.

Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.

Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.

Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze

View attachment 2521539
Gari kuwa na mwendo ni Gearbox mara nyingi.

Kuna gari zina engine ndogo ila zinamwaga moto huko road acha kabisa.

Kutana na VW Golf R au GTI.
 
Kuna kitu mtoa mada mmeshindwa kumuelewa japo mmkembilia ujuwaji msiojua.
Anaposema RPM na KMH basi kiwango kikubwa kinachoangaliwa kwenye kusuma KMH ni RPM ndio maana dash ya speed zote zinaweza kuwa sawa ila ikakupita.
Kuna siku ilishwai shindanishwa tesla na bugat.
Kilichokuwa akiangaliwi speed je RPM zinapishana vipi.
Ila ukiwa mjinga tanzania ndio ili, watu kubisha wasichokijua.

Mrudi mashuleni mda mwengine ndo nyie hata kufanya utafiti mnakuja na kende zenu kufikiria.
Jamaa yupo sawa labfa ufikishaji wazoView attachment 2522972
Me nmeshindwa kuelewa ulichoandika mkuu...

Hebu weka statement moja. RPM inahusianaje na speed?
 
Kuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.
E.G. Ist atembee 80km/r then Altezza atembee speed 80km/r na wote waanze pamoja eneo moja. Unafkir nani atakae mpita mwenzie[emoji1][emoji2][emoji3]
Kilo moja ya mawe na kilo moja ya manyoya ipi nzito?
 
Mfano bus la yutong au Volvo/Scania makopolo ukiliendesha speed 100 haliwezi kuendana na speed sawa na ist na hata magari mengine😁😁 utapitwa kama umesimama

Wajuvi wenye uzoefu wa magari watakuja kutuelimisha, mimi sio mjuvi mzee baba
speed ni constant.

80 ya ist ni 80 ya baiskeli.
 
Nawaheshimu sana hao Golf R series gari ndogo ila nzito utadhani kimefungwa mawe kwenye chassis na kina balance balaa na pia kinaweza kuwa na kodi ndogo ngoja nikifatilie maana TRA wao wanaamini katika magari yenye majina ndio wanatupia Kodi kubwa...
Kuna ni nzuri sana zina kodi ndogo...

Haya mambo ya kununua gari saresare yanawakaanga watu.

Back then namjua mdada alinunua Dualis 14m kutoka Japan mpaka inaingia barabarani. Angalia sasa hivi.
 
Haka kagari kwa ambao hawakajui watakadharau ila nawashauri watu hili ni lichuma la kwenda mbio zipo na balance ikiwa barabarani.
Mjerumani anatengeneza gati chassis nzito.... Halafu zinakuwa chini. Balance lazima iwepo ya kutosha.
 
Ina cc ngap? Ina hp ngapi

Nikujuze tu hako ka golf hakawezi fika 300kph watu wako kazini wanacheza na akili zenu

Ni wazi ukikuta kinglion piki piki yenye cc 150 Ina kibao Cha speed 200 na sinoray cc 150 kibao Cha speed 140 unaweza amini kinglion inakimbia zaidi na upo tayari ku pay more ukiamin pikipiki yenye hp10 inaweza fika 200kph Hulu XL250 yenye hp 25 ilishindwa fika in real life

Achana na readings za speedo meter binafsi naangalia gari lilivo na hp zake eg gari Kama crown, golf, na zinginezo likiwa na hp300 Ni nyingi Sana kibongo unaweza gawa dozi utakavo

Kuhusu speedo kusoma namba nyingi Ni swala la marketing tu

Ngoja nikupe mfano

Unakuta Audi wametengeneza A4 yenye body type nyingi kwanzia sedan mpaka station wagon I think

Pia gari moja linakuja na engine option nyingi kwanzia ndogo kabisa yenye 1.9L diesel Hadi 3L plus where hp inaanzia 80hp Hadi 256hp bila kukosea Sasa huwa some company wanatengeneza speedo meter wenyewe wengine wanatoa oda kwa makampuni mengine, gari lenye 256hp linakuja labda na speedo inayosoma Hadi 260kph na speedmeter hio hio inatumika kwenye gari lingne model moja engine ndogo 80hp ,, hivo watu wanashindwa elewa huwezi tengenezea kila gari speedometer Yake hapo ndo unakuta hata mtu hio engine ndogo anajipa moyo kwamba anaweza fika hio speed unaangalia specs za engine yake unabaki unacheka
Sijui kwa mjapani ila kwa mzungu gari yenye 320kph inauwezo wa kufika maximum ya 305kph kwasababu ya rev limiter.

Au yenye 260kph ina uwezo wa kufika 245kph bila shida yoyote.

Ikifanyiwa tunning ikaondolewa speed limiter. Itafuta hiyo 320 bila shida.

Tafuta video za Golf R stage 1 mpaka stage 3 uone wanavyofuta 320 tena bila hata kuhangaika na gari ina Cc2000 tu.
 
Ina cc ngap? Ina hp ngapi

Nikujuze tu hako ka golf hakawezi fika 300kph watu wako kazini wanacheza na akili zenu

Ni wazi ukikuta kinglion piki piki yenye cc 150 Ina kibao Cha speed 200 na sinoray cc 150 kibao Cha speed 140 unaweza amini kinglion inakimbia zaidi na upo tayari ku pay more ukiamin pikipiki yenye hp10 inaweza fika 200kph Hulu XL250 yenye hp 25 ilishindwa fika in real life

Achana na readings za speedo meter binafsi naangalia gari lilivo na hp zake eg gari Kama crown, golf, na zinginezo likiwa na hp300 Ni nyingi Sana kibongo unaweza gawa dozi utakavo

Kuhusu speedo kusoma namba nyingi Ni swala la marketing tu

Ngoja nikupe mfano

Unakuta Audi wametengeneza A4 yenye body type nyingi kwanzia sedan mpaka station wagon I think

Pia gari moja linakuja na engine option nyingi kwanzia ndogo kabisa yenye 1.9L diesel Hadi 3L plus where hp inaanzia 80hp Hadi 256hp bila kukosea Sasa huwa some company wanatengeneza speedo meter wenyewe wengine wanatoa oda kwa makampuni mengine, gari lenye 256hp linakuja labda na speedo inayosoma Hadi 260kph na speedmeter hio hio inatumika kwenye gari lingne model moja engine ndogo 80hp ,, hivo watu wanashindwa elewa huwezi tengenezea kila gari speedometer Yake hapo ndo unakuta hata mtu hio engine ndogo anajipa moyo kwamba anaweza fika hio speed unaangalia specs za engine yake unabaki unacheka
Unajua vitu ila umekosa kuona vitu vyenyewe halisi hizo gari zinakimbia kweli sio kwamba wanadanganya...
 
Mfano bus la yutong au Volvo/Scania makopolo ukiliendesha speed 100 haliwezi kuendana na speed sawa na ist na hata magari mengine😁😁 utapitwa kama umesimama

Wajuvi wenye uzoefu wa magari watakuja kutuelimisha, mimi sio mjuvi mzee baba
kwahiyo unataka kusema speed 100 ya yutong ni kubwa kuliko speed 100 ya ist/passo? nimeelewa sawa mkuu?
Shida ni jinsi macho yetu yalivyo umbwa ndio yanatuchanganya. Kadri kitu kinavyo zidi kuwa kikubwa ndivyo speed yake ya mjongeo inavyozidi kupungua kwenye macho, mfano ukizipanga baiskeli, Passo na bus sehemu moja na zote zitembee kwa speed ya 20km/h machoni unaweza kuona kama vile baiskeli ipo speed kushinda Passo na bus kumbe hamna lolote
 
Back
Top Bottom