Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

😂😂 labda anamaanisha ile uwezo wa kumpita mtu kirahisi.

Halafu ukikimbia sasa unakuta hata rpm saaana inagusa tu gari inasepa balaa.
Ivo aani gari haisumbui inakubali tu fasta 🥴

Sema na mechanics nyingine za chombo zitaruhusu rpm itafsiriwe kuwa speed mingii kwenye kona unapunguza saana ila
Eeh kwani mi ndo wa kwanza kuishia katikati!?
 
Kuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.
E.G. Ist atembee 80km/r then Altezza atembee speed 80km/r na wote waanze pamoja eneo moja. Unafkir nani atakae mpita mwenzie[emoji1][emoji2][emoji3]
Mkishakuwa speed sawa hakuna wakumpita mwenzie!

Vigezo vyote vimezingatiwa..
 
[emoji23][emoji23] labda anamaanisha ile uwezo wa kumpita mtu kirahisi.

Halafu ukikimbia sasa unakuta hata rpm saaana inagusa tu gari inasepa balaa.
Ivo aani gari haisumbui inakubali tu fasta [emoji3061]

Sema na mechanics nyingine za chombo zitaruhusu rpm itafsiriwe kuwa speed mingii kwenye kona unapunguza saana ila
Eeh kwani mi ndo wa kwanza kuishia katikati!?
Nawewe umefika katikati ukajikuta hujui [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyu Mnyama Golf 7 na 8 yeye hajui una Rpm sijui horse power ngapi yeye ni kukupita tuu anatembea huyo kwa hizi gari nyingi ukiondoa zile za Racing ni shida sana kumpata Kigali kidogo ila kizito na balance imelala hapo..
 
Attachments

  • 20230207_121026.jpg
    20230207_121026.jpg
    568.2 KB · Views: 28
  • 20230207_121010.jpg
    20230207_121010.jpg
    575.2 KB · Views: 27
Kuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.
E.G. Ist atembee 80km/r then Altezza atembee speed 80km/r na wote waanze pamoja eneo moja. Unafkir nani atakae mpita mwenzie[emoji1][emoji2][emoji3]
mkiwa speed sawa hakuna namna mmoja atampita mwingine mkuu... bajaji, subaru, yutong, baiskeli, guta, yutong zote zikiwa sawa speed let say 20kph tegemea zote zitafika mbeya au mwanza muda sawa. Asante
 
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.

Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.

Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.

Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.

Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze

View attachment 2521539

Mfano bus la yutong au Volvo/Scania makopolo ukiliendesha speed 100 haliwezi kuendana na speed sawa na ist na hata magari mengine😁😁 utapitwa kama umesimama

Wajuvi wenye uzoefu wa magari watakuja kutuelimisha, mimi sio mjuvi mzee baba
 
Umejuaje kama mko speed sawa?gari inaweza kuwa speed 180 sawa lakini ku maintain hiyo speed katika mazingira tofauti ya barabara ni ngumu,unakuta gari kufika 180 hadi kuwe na kamtelemko!==kama kakupita jua speed yake na yako ni tofauti kwa vyovyote kazidi.SPEED=UMBALI GAWANYA KWA MUDA.
 
Mfano bus la yutong au Volvo/Scania makopolo ukiliendesha speed 100 haliwezi kuendana na speed sawa na ist na hata magari mengine[emoji16][emoji16] utapitwa kama umesimama

Wajuvi wenye uzoefu wa magari watakuja kutuelimisha, mimi sio mjuvi mzee baba
kwahiyo unataka kusema speed 100 ya yutong ni kubwa kuliko speed 100 ya ist/passo? nimeelewa sawa mkuu?
 
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.

Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.

Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.

Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.

Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze

View attachment 2521539

RPM inaongezeka kwa ku press mafuta, unaona umegundua kitu cha maana kweli?
 
ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
SPEED SAWA? HALAFU ANAKUPITA? hahahahs
Inaonekana hata basic physics tu hajui.
Nilivyoona heading nikaukimbilia uzi ili kujifunza maajabu mapya kufika katikati kakwama katuacha hewani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.

Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.

Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.

Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.

Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze

View attachment 2521539
Vipi kwa gari ambazo hazina tachometer inakuaje....
 
Huyu Mnyama Golf 7 na 8 yeye hajui una Rpm sijui horse power ngapi yeye ni kukupita tuu anatembea huyo kwa hizi gari nyingi ukiondoa zile za Racing ni shida sana kumpata Kigali kidogo ila kizito na balance imelala hapo..

Niliona video moja juzi benz E class sijui ile inaliwa na hichi kidude nilishangaa jamaa akaononesha ubaoni kinasoma 257kmph[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawaheshimu sana hao Golf R series gari ndogo ila nzito utadhani kimefungwa mawe kwenye chassis na kina balance balaa na pia kinaweza kuwa na kodi ndogo ngoja nikifatilie maana TRA wao wanaamini katika magari yenye majina ndio wanatupiga Kodi kubwa...
 
Nawaheshimu sana hao Golf R series gari ndogo ila nzito utadhani kimefungwa mawe kwenye chassis na kina balance balaa na pia kinaweza kuwa na kodi ndogo ngoja nikifatilie maana TRA wao wanaamini katika magari yenye majina ndio wanatupia Kodi kubwa...

Haka kagari kwa ambao hawakajui watakadharau ila nawashauri watu hili ni lichuma la kwenda mbio zipo na balance ikiwa barabarani.
 
Back
Top Bottom