Prolific26
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 498
- 934
Yaan komandoo mmoja anaweza sambaratisha wanajeshi wakawaida 200? Mbna km ni mambo ya kwenye movieHao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu