Uwezo wa kigogo kukwepa harkers? Au mwenyewe kuhack kibabe.

Habarini.
Sote tulishuhudia Mtaalamu kigogo alivyosumbua. Wakuu nimeona nije na swala hili kwamba huyu kigogo umahiri wake kiweza kukwepa mishale enzi na awamu Ile technically ikoje hii.?

Msaada wa VPN ama ilikaaje.


Mbona si ngumu ukishajua cybersecurity basics au kama uko kwenye industry ya cyber si ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…