Uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Ali Kiba unasikitisha na kuhuzunisha

siongelei chochote kuhusu hao wasanii lakini nimekuona boya sana.. kwanza hujiamini Wataje wazi hao wanaoshabikia Nabii mke uwe na hoja ili nao wajibu.. halafu we unasema Siku zote ni R.C sasa hao Wanaomshabikia Nabii mke wanakuumiza nini? Si wameamua kumuamini na kuamini misingi ya imani yao kama wewe unavyomuita PAPA ni BABA MTAKATIFU NA MWAKILISHI WA MUNGU??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa uzi Corona Imeanza kutafuna ubongo maana kaandika pumba tupu tena kimihemko

Vishabiki vya Diamond vinawivu sana kinachowauma ni Alikiba kutrend kwa wiki nzima sasa hakuna kingine, kiba uwa unawasumbua akikaa kimya Mnateseka akikiwasha mnateseka,. Uzi wako hauna mashiko umeandika kimihemko kimichambo na kiwivu wa upande wa pili,


Ni wakati wa kiba huu kutrend tulizeni mishono ndo maana mnaona hata uko kwa mjomba enu chibu wamekaa kimya wanajua wakikurupuka wataaibika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
So alikiba ndo mtu wa kwanza kukaa kweny trend kwa week nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So alikiba ndo mtu wa kwanza kukaa kweny trend kwa week nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema ndo mtu wa kwanza soma uelewe,.

Kinachowauma ni kiba kutrend kwa wiki nzima walitegemea Zuchu angemzima lakini madogo waliotoka Kings Music wamemzima Zuchu, heshimuni na tambueni nguvu ya Kiba jamaa ana himaya yake ana mashabiki wake, Like Simba na Yanga Uwezi wabadilisha mtu,.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…